lol nimeona u turn,wanawake wakilalamika hamuwapeleki wake zenu vacation kama spain,france etc..ati mwanaume wa kibongo akijitahidi kukufurahisha atakupeleka kwa wakwe zako ukasalimie....hapo ndo...
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya...
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi...
binafsi mwanzo niliamin kuwa kweli huenda watu wako makini na wanahitaji wachumba kweli! lakini kadili siku zinavyozidi kwenda nimegundua kuwa ni mchezo tu na wanaopost mada hizi hufanya hivyo...
1. Tembea yako kama kisela au heshima ili ajue kama una kazi au huna.
2. Nguo zako zimefubaa unatembea juani,kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3. Kama viatu vina vumbi moja kwa moja...
Wadau habari za muda huu,
Katika pitapita yangu nikamtogoza mrembo mmoja wa kihaya, lengo langu kupita na kukimbia, kweli mrembo akanikubalia kimapenzi niwe naye, baada ya miez 4 nikaanza...
Kipindi cha sikukuu ndo kipindi pekee cha kujua nafasi yako kwa mwenza wako, ni kipindi kigumu kwa wenye wapenzi wengi, awe na nani ndo jambo gumu, hapo ndo utasikia visingizio, naumwa, kaka mkali...
LLB (Elimu ya Watu Wazima)
04:29AM
Alarm yangu iliita kuashiria ni muda wa kuamka na kuianza siku mpya. Kwa kawaida mimi hupenda kuamka mapema ili nipate muda wa kufanya mazoezi kidogo na...
Abari zenu,mpenz wangu bana kasafiri ameenda mikoa ya kanda ya ziwa kama mjuavyo ni msimu wa christmas na mwakampya,kiukweli simuamini %,maana sijazaliwa nae sasa akirudi nataka nipime ile naniliu...
Habari!wapendwa naomba ushauri kidogo,kwa umri nilionao napaswa niwe na familia,am above 30yrs.Nimekuwa kwenye relation za kudumu yapata tatu sasa lakin zote zimeishia kuparaganyika mwishoni.
Ya...
Moyo wenye huruma ni dawa kwa wenye Machozi, kila aonaye thamani ya mwenzake hata wengine hufanya hivyo kwake, najua si rahic kuishi bila kikwazo ktk maisha lakini kwenye mabaya 10. likiwepo zuri...
Wadau salaam,
Kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umri na hata umbo (ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia).
Amekuwa...
vazi la mwamke siku ya ndoa yake.
1. kwa nini lina jina maalumu lisilochanganyika na majina mengine ya nguo za wanawake yaani "shela"??
2.kwa nini shela zote zitumie rangi moja tu nyeupe...
Huu mwaka unaisha vibaya sana kwangu kwa kuwa na mawazo mengi mno! Nakuja hapa ili nipate kutuliza mawazo lakini pia kupata ushauri katika hili!
Nalazimika kusema haya kwa faida ya huyu binti...
Habari wanaJf,
Siku zote wapenzi/wanadoa hupendana sana kabla na mwanzoni mwa mahusiano lakini baadaye wengi wao mambo huwa kinyume.
Tusaidiane, ni mambo yapi husababisha wanadoa/wapenzi hawo...
Mara zote nilikuwa nikiona watu wana gombania demu nahisi wamechanganyikiwa. Yaani wanawake wote hawa unagombea mwanamke. Kumbe yalikuwa hayajawahi kunikuta.
Katika maisha yangu nimedate na...