JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
Kipindi cha sikukuu ndo kipindi pekee cha kujua nafasi yako kwa mwenza wako, ni kipindi kigumu kwa wenye wapenzi wengi, awe na nani ndo jambo gumu, hapo ndo utasikia visingizio, naumwa, kaka mkali n.k, ila style hii ndo salama zaidi.
Mwenza hutafuta chokochoko ili mkosane kwa muda, ili usimtafute wala kumpigia simu, hata ukimpigia asipokee kwa kisingizio eti umemuudhi kumbe yupo kwingine.
Dawa yake ni wewe kuwa mpole kipindi hiki, hata akikukosea wewe muombe msamaha tu, jishushe, wangu alitaka kuldta hii mbinu, nimekuwa mpole balaa, akitaka kuleta chokochoko nakuwa mpole ili asipate kisingizio, tujishushe japo kwa siku 2 ili kukata mzizi wa fitina.