It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jestina, Dec 1, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  lol nimeona u turn,wanawake wakilalamika hamuwapeleki wake zenu vacation kama spain,france etc..ati mwanaume wa kibongo akijitahidi kukufurahisha atakupeleka kwa wakwe zako ukasalimie....hapo ndo anaona kakutoooooooooooooooa lol,cha kushangaza wanawake nao hawasemi kama wanataka vacation wanaishia kulalama tu wakiona mwenzao kapelekwa vacation(na wazungu)

  *wanaume pelekeni wake zenu vacation,sio mjidai hela hamna wakati mnawapeleka nyumba ndogo kama kawa...

  *wanawake fungukeni kwa waume zenu msiishie kulalama kichini chini pindi mnapomuona mwenzenu kapelekwa vacation...

  LOLS
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Unarusha madongo live. ha ha ha. Ngoja wenyewe waje kujibu hoja. Lol.:juggle:
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mnakula milo mingapi@kwa siku?
  U turn ndo role model wako?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,447
  Likes Received: 22,364
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe tu kujipeleka ngorongoro siwezi, je kumpeleka mwengu vacation spain ntawezea wapi?
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wewe nahisi wewe na mumeo,mnakula ubwabwa siku ya jumapili kwa kisingizio bajeti wakati nyumba ndogo yake inafanya shopping france.....
  u turn inatembelewa na maelfu ya watu(wanawake) kama sie hapa jamiiforums,therefore inaturepresent wanawake na views zetu....
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Wanamme mna kazi kama wake mtakaooa wanaishi kwa kutizama jirani kafanyiwa nini na si vipaumbele vya familia zenu mnalo, tena mnalo hasa.

  Nenda vacataion when u need it and can afford it sio sababu jirani au wazungu wanafanya.

  Mbona tumeukataa ushoga wakati wazungu wanafanya?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  with all due respect, ina represent wanawake wa upeo fulani tu.
  Mwanamke mwenye upeo tofauti hawezi fanya kitu sababu eti fulani anafanyiwa na mzungu, siriazly una-underestimate female specie, tena unadhalilisha inteligence yetu.

  Please we are more than kuangalizia wazungu wanafanya nini


   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanini msubirie kupelekwa?
  Nyie mnawapeleka waume zenu?

  Kama hali inaruhusu jipeleke au mpeleke na mwenzako hamna haja ya kulalamika kisa fulani kapelekwa.Mipango yake sio sawa na yako.
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi kwani vacation hadi kwenda Spain sijui France??
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapa sina haja ya kimfundisha mama.. . . lolz
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Halafu kumbe umetoa huko....kazi kweli kweli
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa desh desh. . .
  Mi ukinipeleka moshi tu nikanawe uso na maji yanayotoka mlima Kili ni vacation tosha.
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wee kataa hapa hutaki vacation,upate credit....ila usiione wivu mwenzio akipelekwa....BTW ukikataa ile nyumba ndogo ya mumeo inaenda kama kawa....,vipaumbele unaviona wewe tu?
  kutokana na views za watu,huo utamaduni wa wazungu wanaufagilia sana na ukiacha unafiki wengi wangependa kuona wanaume zao nao wakifanya,hayo mambo ya ushoga sijui yameingiaje ni irrelevant kwa kweli.....
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jibu ni HAPANA,ila pia hata ukiulizwa kama umeshawahi kumpeleka mkeo MIKUMI?.....watu pia wataona UTAKAVYOGWAYA lol
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Hivi hii generation ya kupenda starehe kuliko kazi imetoka wapi jamani, mbona tunahitaji kuombewa?

  Hivi utamkomesha mmeo sababu ya nyumba ndogo? Hii maana yake wewe hujiamini kiasi kwamba nyumba ndogo ina-drive maamuzi yako.

  Kumbuka husifiwi unakula shilingi ngapi, unasifiwa kwa kuzalisha shilingi ngapi na account yako inasomaje

  I would rather remain Lawino than being Clementina kama kina clementina ndo ivi!!!!!
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaha kwani kuna nini,i dont afraid to say am u turn no 1 fan,ukute na wewe unasomaga kule kimya kimya....afu hapa kwa greti thinka unajifanya unapitia mitandao ya maana zaidi LOLS.
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Duh, tushaanza kupangiana maisha tayari.

  Ndiyo maana wengine wanaona kuoa noma, ukioa unashurutishwa vitu hata kama si style yako? Unajuaje kila mtu anapenda vacation, wengine ma workaholic wanatafuta cure for cancer ukimwambia vacation anaona unacheza, na hao je?
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Getruda kwa hali halisi ya maisha ya huku ni wanandoa/wapenzi wachache sana wanaweza kufanya hiyo kitu, watu mlo wa siku wengine unawasumbua, wengine ada ya watoto ishu hapo haujanzungumzia kodi ya nyumba, sikatai kwenda vacation nafikiri wenye uwezo wanaweza kufanya hivyo na isiwe eti mwanaume ndio ampeleke mkewe vacation why not na wewe mwanamke umpeleke mumeo vacation...
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  upeo unahu!

  Nyumba ndogo anajua hana chake, anachuma anachoweza fasta, kwa hiyo na wake za watu mmeanza ku-act kama nyumba ndogo?

   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  This festive season nakupeleka vacation Hawaii...
   
Loading...