hi

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
449
225
Moyo wenye huruma ni dawa kwa wenye Machozi, kila aonaye thamani ya mwenzake hata wengine hufanya hivyo kwake, najua si rahic kuishi bila kikwazo ktk maisha lakini kwenye mabaya 10. likiwepo zuri 1. tafakari kuhusu hilo kwani ndilo la thamani kuliko yote. Jiwekee utaratibu wa kusamehe kila ck hata kama anayekukosea ni yule yule ck zote "MUNGU" atakulipa, bora uonekane mjinga ulimwenguni lakini mwelevu mbele za "MUNGU".
 

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
2,000
nikutokana na dunia ya xaxa.bila kuelimishana juu ya faida ya msamaha hatutafika

Umetoa ujumbe mzito sana, sababu hapa nilikuwa kweli mkwaruzano mkubwa sana kwenye sms na mtu ambaye ananikosea katika kosa lile lile kwa muda mrefu sana, anatumia pesa vibaya sana na hawezi kuziaccount, nilifikia hatua ya kufikiri kumsamehe tena lakini hayo maneno niliyokoleza yamesababisha niendeleze bifu,ni lazima aeleze ama sivyo napiga chini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom