Mangi kaharibu mahali,collectively responsibility inahusika na hapa??

Status
Not open for further replies.

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,709
23,638
Dah!!!
Nlikuwa naiskia tu kwa jirani ila ndo ishabisha hodi kwenye boma!!
Mangi bana katusua huko!
Na imebid tu nijue,nshacurse sana na kuvimba ila ndo ishakuwa!somewhere kipande cha wapi sijui kuna kisbling ka macutee wangu.
Hebu kujeni mnipe maakili maana yangu ishafikria weeeee ah mxxxxiou nimechemsha!!
Mi ndo sterling lakn ndo nshapigwa cha mbavu midamu kibao,saaasa nikubali kufa na muvi iishe au nifute midamu kwa kiganja aftena nikumbuke limbinu la vita lile master mwenyewe ili kitu kikae kwenye mstari.
Ila inauma mjue basi tu ni vile nyani mzee karika mishale mingi

Dark City sogea kipande hii mtuhumiwa wako ananitega huku
Kaunga mama g hana id jf anipe maakili?
Fixed Point dadakubwa songea kule huwa tunafanyaje ikiwa hv?
watu8 mtani shud we nyamachoma for this au tupige kimya
The Boss zile guidelines hazikutoa mwongozo wa ikitokea kesi kama hiz wafanyaje?
cacico hebu kuja mke mweee familia imekua huku tufanye mtiti au ndo tushakua?
Asprin , Nicas Mtei , Mkirua , Nsiande Nyamayao Mamndenyi Mentor Kaizer na wengine wote wa kipande ya mgombani hebu niambieni mila inasemaje??
All the best katika discussion!!
 
Last edited by a moderator:
Mtani hebu ngoja niheme pumzi ndefu kwanza...nitafute busara maana habari kubwa hii na yahitaji hekma kuamua.

Damn mangi....why but whyyyyy???
 
Kama ndo nilivyoelewa hil jambo ni zito kuamua..ila usikimbie tatizo endelea nae tu..na umpende huyo sibling ni thawabu pia.
 
ukianza hizo ntalia ujue!!
Hebu jikaze bana af nipe maakili
 
Ok!!
Natamani sana nifikie hapo ila sio rahis sweetheart!!
 
Mwalimu, Nimeangalia muda uliopost hii makitu nikahitimisha kuwa mwalimu wangu hukulala usiku. Na kuna hatari wanafunzi wenzangu leo wakileta za kuleta wakaambulia makwenzi badala ya bakora.

Kiukweli am speechless. Otherwise sijakuelewa.

Ni kwamba hiyo makitu ni ya siku nyingi ila ndo umethibitisha jana au ni toleo jipya?

Hebu kwanza tuwekane sawa hapo kabla sijaja kimila.
 
ndo kwaaanza miezi 7.mdogo wako kafunguka jana .
Nafanyaje??
 
Ehehehe i wish ningekuwa na hata hizo nguvu za kutoa makwenzi!!
Leo itabid tu uwe monitor mwalimu.
 
Kuna wakati mwingine mtu unaweza fanya jambo ambalo u wish kama usingefanya...maskini, sijui ndo kaliingia kwenye penalty box kenyewe ama mtu mzima ulimvuta kwa dana dana!

Kwa kuwa yameshatokea kama nidhanivyo ni sawa,hatua ya kwanza ni kutuliza akizi usipanic ukajaingiza vionjo visivyohusika kwenye ngoma hii.Baadaye mface 'business partner' umset,na ukiwezekana ukubali kuomba msamaha bila kukunja goti! Then take responsibility kimya kimya...
 
Hii nimpe mangi asome au unamaanisha mm ndo niombe msamaha??
Yeye kashadata hapa akili hazimkai ndo natakiwa nimsaidieje sijui!
 
Mkuu hebu soma hii habari kwa makini, ni hivi dada yetu katendwa na kaletewa kichanga na faza hauzi.

Kuna wakati mwingine mtu unaweza fanya jambo ambalo u wish kama usingefanya...maskini, sijui ndo kaliingia kwenye penalty box kenyewe ama mtu mzima ulimvuta kwa dana dana!

Kwa kuwa yameshatokea kama nidhanivyo ni sawa,hatua ya kwanza ni kutuliza akizi usipanic ukajaingiza vionjo visivyohusika kwenye ngoma hii.Baadaye mface 'business partner' umset,na ukiwezekana ukubali kuomba msamaha bila kukunja goti! Then take responsibility kimya kimya...
 
ukianza hizo ntalia ujue!!
Hebu jikaze bana af nipe maakili

Mtani wangu hili ni jambo dogo sana kudeal nalo wala moyo usikupasuke hivyo.

Hebu twende tu taratibu, hizi habari ni mangi mwenyewe kakueleza au ulipeleleza?

Nataka kujua kama anajutia kwa alilofanya...
 
Mkuu hebu soma hii habari kwa makini, ni hivi dada yetu katendwa na kaletewa kichanga na faza hauzi.
Hii mihasira uliyonayo wallahi mangi akae mbali na wewe!!
Relax mtani mi niko poa
love yu sana na concern yako in this imenifanya nitamani uwe hapa unihug!!
Pamoja sana!!
Si unaniaminia mimi jembe??bas poa tutalisov tu hili asee!!
 
Mtani wangu hili ni jambo dogo sana kudeal nalo wala moyo usikupasuke hivyo.

Hebu twende tu taratibu, hizi habari ni mangi mwenyewe kakueleza au ulipeleleza?

Nataka kujua kama anajutia kwa alilofanya...
Mangi kafunguka mwenyewe!!
Mi i had no idea!not even a clue!!
 
ndo kwaaanza miezi 7.mdogo wako kafunguka jana .
Nafanyaje??

Yesu Kristo wa Nazareti!!!!!

Mila haziruhusu hiyo makitu. Na hata ikatokea kwa bahati mbaya ukaenda against mila, mila zinakataza kufunguka wakati toleo jipya ndo kwanza linasömwa front page.

Najaribu kujiuliza ikawaje mpaka mdogo wangu akaamua kufunguka.... Ulimshikia bastola au ulikuwa unang'ata pumb.u zake?

Alikuwa anafunguka kikauzu au kulikuwa na sura ya kujutia(hapa namaanisha kujutia kweli si kuzuga. najua unamjua kuliko hata mama yake)

Na baada ya kufunguka msimamo wake ukoje? Huyo mchapishaji wa toleo jipya wamjua? Ana uwezo au ndo mama wa nyumbani. Na mdogo wangu mmejaliwa kutoa matoleo mangapi? Maswali ni mengi nisamehe, nataka kusaidia kimila hapa. Dah!!!
 
Ongea kwanza kiswahili sanifu:
- Mzee kala mtaa wa pili
- mliwaji ana tumbo la miezi kadhaa
- mzee kaamua kukuteli yeye mwenyewe
.............. Je niko sawa na wewe au niko tofauti ili nijue cha kukushauri.
 
Mkuu hebu soma hii habari kwa makini, ni hivi dada yetu katendwa na kaletewa kichanga na faza hauzi.

Nadhani nimeelewa,mwanzoni nilidhani labda dada yetu alikuwa na bibtiye kabla hajawa na jamaa,so jamaa nikadhani ameamua kula kuku na mayai yake na kwamba yai (sibling kwa mkewe) shimo likatema na kwamba hapa jamaa kaja kiutu uzima tumpe maujanja ya kusetiri aibu...

But all in all kama nikiedit ushauri wa mwanzo tena ningefuta hii aya nani alimshawish nini ila ya pili still inafaa kuwa applied! Dada asamehe tu,hawa wanaokuja kwenye familia bila kupitia utaratibu wa forodha ndio wanakuja kuwa 'kina Obama'
 
Mangi kafunguka mwenyewe!!
Mi i had no idea!not even a clue!!

What?????????

What if he is just playing? Nakumbuka nlishawahi kumtania wife kuwa shetani kanipitia nikatafuna mdada mmoja na hivi sasa ni mjamzito. Kitu ambacho nawaambieni na kuwahakikishieni ni kuwa sitokaa nirudie utani wa kipuuzi namna ile... Haki ya Mungu sitarudia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom