KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Habari zenu wadau, Leo kuna swala moja ambalo naomba tusaidiane kuweka mambo sawa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuzaa/ kuwa na mtoto/watoto kabla hatujaoa/kuolewa. Je kipindi cha kutafuta mwenza wa kuishi nae na kuisi una mtoto alafu yeye hana haitasumbua kwenye mahusiano? Kuna umuhim wa kumuhabarisha mchumba kwamba nina mtoto? maana siku hizi watu wengi siku izi wanakimbia suala la kuwa baba/mama wa kambo. Au ndo yale ya aliezaa basi atafute mwenye mtoto ili iwe ngoma droo?