Nifanyaje ili kupata/kuongeza nguvu ya kiume?

Nifanyaje ili kupata/kuongeza nguvu ya kiume?

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,024
Reaction score
2,273
Wana JF, Nifanye nini ili kuongeza nguvu za kiume? Maana kabao kamoja tu msholele unalala fwaaa…
A%20S%20thumbs_down.gif
.hadi wife analalamika usiku kucha. Sitaki kutumia VIAGRA vina side effect kubwa…nataka vitu simple au natural.


 
Pole sana mkuu, ingewezekana kufanya transfussion ningekupunguzia za kwangu.

fanya mazoezi ya viungo, pata mlo kamili daily, zingatia kuupa mwili mapumziko n.k.....

Hili tatizo limekuwa sugu kiasi kwamba inabidi lianzishwe jukwaa la Nguvu za kiume....
 
Matatizo ya kisaikoloji tu hauna tatizo la nguvu za kiume! Mtafute Dr wa akili atakusaidia
 
Kula vyakula vya wanga ya nafaka kwa wingi, nyama nyeupe haswa samaki, fanya mazoeiz sana haswa ya kukimbia na viungo. Hafu usipende kugugda kila siku fanya hata mara2 kwa wiki utaona heshima lazima irudi.

Wana JF, Nifanye nini ili kuongeza nguvu za kiume? Maana kabao kamoja tu msholele unalala fwaaa…
A%20S%20thumbs_down.gif
.hadi wife analalamika usiku kucha. Sitaki kutumia VIAGRA vina side effect kubwa…nataka vitu simple au natural.
 
Pole sana mkuu, ingewezekana kufanya transfussion ningekupunguzia za kwangu.

fanya mazoezi ya viungo, pata mlo kamili daily, zingatia kuupa mwili mapumziko n.k.....

Hili tatizo limekuwa sugu kiasi kwamba inabidi lianzishwe jukwaa la Nguvu za kiume....

Mkuu TANMO sidhani ni kubwa kiasi hicho mpaka lianzishiwe jukwaa nafikiri zaidi ni saikolojia ya hao wanaosema wamepungukiwa
Kula yao, miili yao namna wanavyojiachia kwenye kula, kazi zao, maisha yao kama ni watu wenye stress kwa muda mrefu hayo yanaweza kuchangia na historia zao za maisha kama wanakunywa sana pombe au kuvuta sigara au magonjwa
Hii ni zaidi kwenye kujiangalia kwa mhusika mkuu na sio eti ni janga kihivyo (may be ni janga)
 
Last edited by a moderator:
Tengeneza na kunywa shake ya Maziwa fresh + Tende...waweza changanya kidogo na Mdalasini
 
Oa mzee mwenzio mnaeendana umri. Hicho kibinti kidogo ulichonacho damu inachemka sana hukiwezi.
 
Unailazimisha akili yako ikubali kua una tatizo la nguvu za kiume ivo mfumo mzm unaohusika na tendo la kujamiiana unakubali ivyo unajikuta mtumwa wa hisia zako mwnyw jichunguze kwnz,pili kula chakula sahihi na kamili fanya mazoezi,mwsh kuna wataalam wanatoa tiba kwa vyakula vya virutubisho naona waarabu ni wajuzi wa aina hii ya tiba haina madhara maana ni mchanganyiko wa vyakula mbali2.
 
Mi hata sielewagi hili suala, nguvu za kiume si ni ukiweza tu kusimama au? kwani inalala kabla hujakita?
 
unajua suala la nguvu za kiume limeenea sana kwa vijana wengi ila me sidhani kama wewe hauna nguvu za kiume kweli hata umagharibi kwa akina dada nao unachangia .......Utakuta kijana lijali anaamka asubuhi ngoma inadi..n.da kama ilivyo desturi ..anaelekea mihangaikoni kwenye dalala unakutana na mdada amevaa nusu uchi kwa kuwa wewe ni lijali lazima utadi.nd.a tu na kila sehemu lazima ukutane nao mfano Maofisin,dalalala,barabarani,club, n.k na mb.o.o haina shukrani hata ukitoka kula mzigo baada ya dk 5 ukiona sehemu za mwanamke (matiti,makalio,mapaja,tumbo na kitovu au mtikisiko wa makalio ,uzuri/urtembo wa mtu some time hata papuch ikiwa ndani ya choipa) lazima mwanaumme uwe na hisia ..sasa hali hii kisaikolojia inakupelekea wewe kuona ku..m.a ni ktu cha kawaida hasa unapokuwa upo kwenye 6*6 hamu inakata haraka sana coz hata ukiwa uraiani mambo yale yale ,,,,ni mtazamo tuu
 
Nzuri sna kuna wakati nafanya hadi naogopa na kuna wakati siwezi hadi nalia! Ukweli ni kuwa sio kitu muhimu hata kidogo ukiweza kukata uume wako bora kuliko kuwa nao. Pesa inapungu- na umakini pia ila umaskini unaongeza na zaidi, hisabati ngumu sana. Hakuna mtu amewai kusifiwa kwa kufanya duniani ila kwa kutokufana!

Kulala na Mwanamke kitanda kimoja inapunguza nguvu sana, angalia vyakuka, mazoezi na mazoea.
 
unajua suala la nguvu za kiume limeenea sana kwa vijana wengi ila me sidhani kama wewe hauna nguvu za kiume kweli hata umagharibi kwa akina dada nao unachangia .......Utakuta kijana lijali anaamka asubuhi ngoma inadi..n.da kama ilivyo desturi ..anaelekea mihangaikoni kwenye dalala unakutana na mdada amevaa nusu uchi kwa kuwa wewe ni lijali lazima utadi.nd.a tu na kila sehemu lazima ukutane nao mfano Maofisin,dalalala,barabarani,club, n.k na mb.o.o haina shukrani hata ukitoka kula mzigo baada ya dk 5 ukiona sehemu za mwanamke (matiti,makalio,mapaja,tumbo na kitovu au mtikisiko wa makalio ,uzuri/urtembo wa mtu some time hata papuch ikiwa ndani ya choipa) lazima mwanaumme uwe na hisia ..sasa hali hii kisaikolojia inakupelekea wewe kuona ku..m.a ni ktu cha kawaida hasa unapokuwa upo kwenye 6*6 hamu inakata haraka sana coz hata ukiwa uraiani mambo yale yale ,,,,ni mtazamo tuu
mtabaki mnahangaika kumtafuta mchawi nani na kuna midawa na midawa kumbe hata mazingira yenu 45% ni chanzo ...kwenye simu unaporn video mitaani ndio zipo za laivu kwa kuwa macho hayana pazia ndio yanauponza ubongo kufikiria vitu visivyo natija zaid ya kuuamuru u***b.o unywee/ulegee km p.mbu...jaribu kuchukuwa bakground za mahanithi alafu utaona walio wengi zinafanana... Mtazamo.com
 
Wana JF, Nifanye nini ili kuongeza nguvu za kiume? Maana kabao kamoja tu msholele unalala fwaa


Kwa UMRI wako wa MIAKA 71 hilo ni jambo la kawaida kabisa;ungekuwa kijana ndiyo ningetoa ushauri!

(Muwe mnasema miaka yenu ni mingapi kwenye kila issues zinazohusu matibabu!Ushauri na matibabu kwa kijana mwenye matatizo ya nguvu za kiume ni tofauti kabisa na mzee)
 
Wana JF, Nifanye nini ili kuongeza nguvu za kiume? Maana kabao kamoja tu msholele unalala fwaaa…
A%20S%20thumbs_down.gif
.hadi wife analalamika usiku kucha. Sitaki kutumia VIAGRA vina side effect kubwa…nataka vitu simple au natural.



Muone Dr Jerome, yumo humu JF.
 
viagra haiongezi nguvu za kiume hata siku moja...
Solution, kama unaangalia porn acha, kama unafanya masturbation acha..
Hivo ndo vitu viwili vikubwa vinavoua hiyo kitu, piga msoc fresh, n ikiwezekana fanya mazoezi ya kuongeza span yako, kabla hujatoa control, toa vuta pumzi kwanza hali itulie, then endelea, hivo hivo jitahidi kuendeleza kwa muda mrefu ikiwezekana hadi mwanamke akichoka aridhike kabisa, itafika siku utashangaa nguvu zimetoka wapi... wanaume wengi waliosafi bao moja wanatulia ila fasta wanarudi hewani, wengine sekunde chache tu, wengine dakika 1,2 ila wengine weak hadi robo saa....
 
Back
Top Bottom