Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni Mvulana mwenye miaka 28, Naishi dar! Natafuta msichana aliye serious tuweze kuwa katika mahusiano ya kimapenzi nihitaji kuanza kujenga Familia naye! nimekaa mpweke kwa muda wa zaidi miez 9...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Haya hayaaaaaaa! Hayawi hayawi sasa ymekua! WENYE P.O.BOX zetu mjini tushalipa mijiheaaaaaaa! Stand by kwa LE PARTYY...
7 Reactions
132 Replies
10K Views
Niko hapa maputo. Sahau kuhusu machangudoa wa Dar ambao mara kwa mara wamekuwa wakitimuana na polisi, huku ni balaa la kufa mtu yaani kuna maeneo unafika na kuorder mwanamke kulingana na picha...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
aliye tayari tuwasilkiane kwa e- mail adriano.cole55@yahoo.com
0 Reactions
16 Replies
5K Views
wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama...
1 Reactions
109 Replies
9K Views
Nilioa nakufunga ndoa!na mungu ametujalia kupata mtoto mmoja wa kiume.nilihamishwa sehemu nyingine kikazi ila mke wangu alikataa kuhama na baada ya hapo alienda mahakamani kuomba talaka!pia hakati...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU. Naomba mnisaidie katika hili, Ni mara nyingi humu jukwaani kuleta nyuzi zinazohusu kutotosherezwa ktk suala zima la tendo la ndoa wengine wanasema vibamia,wengine wanasema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
For all of you specially: I would like to wish you and your family A Very Happy & Prosperous New Year 2014. I am also very thankful to God to make me see my other Birthday on 1st January. I am not...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Ni muda sana umepita bila ya kuona comments zako dada gfsonwin Mara nyingi comment zako huwa zanifurahisha pia zina maonyo ndani yake. Dhumuni kubwa ni kuwa nimekukumbuka sana dadangu gfsonwin...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
  • Closed
Habari zenu wadau? Bila shaka mlikuwa na mapumziko mema ya wkend. Ndugu yenu katika mizunguko yangu nimebahatika kukutana na manzi wa kihehe inaonekana kanipenda lakin silielewi siwaelewi vzr...
1 Reactions
28 Replies
18K Views
Nimeamua kuja kwenu wana jamvi baada ya kushuhudia mifano mbali mbali kuhusiana na hili swala: 1.ukiwa mkubwa(miaka)? mingapi kwa wastani...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Iwe umeoa/umeolewa, iwe ni wachumba wa muda mfupi au mrefu, yanapotokea baadhi ya mambo haya (na mengine), ujuwe kuwa uhusiano wenu uko matatani na iko haja ya kutafuta ufumbuzi haraka. 1...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wana MMU, natanguliza heshima na salamu, Kuna jambo linanitatiza sana nafsini mwangu na dhamiri yangu inanitesa sana. Miaka mitatu iliyopita mpenzi wangu alikuwa nje ya nchi kwa masomo. Na...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Sure, you've put your lips on someone else's before. You were a lifeguard and that person needed CPR!! But when it comes to your actual kisses, you still haven't quite "saved lives" with them yet...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat.. Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at' Imekaa kimbea...
3 Reactions
80 Replies
13K Views
mke wangu amekithiri kwa uchafu nimesema mpaka nimechoka, naombeni ushauri ndugu zangu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ningependa kuwa na marafiki wapya wa kuchart nao whatsapp, jinsia yoyote..mimi ni wa kiume npo pande za moro!! nitumie PM kama unapendezewa... isiwe issue no +25565695887
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rachel Wade Joshua Camacho Eneo la tukio…. Kisu kilichotumika Kutoka kushoto: Sarah Ludemann, Joshua Camacho na Rachel Wade Mkasa huu wa mauaji uliotokea katika mji wa...
26 Reactions
45 Replies
17K Views
Natafuta msichana mzuri mkazi wa mtwara awe mweupe anayejiheshimu elimu yoyote anipm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…