GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Niko hapa maputo. Sahau kuhusu machangudoa wa Dar ambao mara kwa mara wamekuwa
wakitimuana na polisi, huku ni balaa la kufa mtu yaani kuna maeneo unafika na kuorder mwanamke
kulingana na picha.... Duuh yaani kama natazama filamu iliyochezwa Thailand.
Nilipita pale Mweda na Nangadi, nikakuta Watanzania kibao wako pale wanasubiri watoto
wa kike watoke shule, yaani hakuna kuulizwa wala sheria inayozuia kutembea na Mwanafunzi
na hata akipata mimba au akiwa na mtoto nyumbani anaendelea na masomo bila matatizo.
Ah yaani huku si mchezo...... Ngono nje nje... Inatia huruma sana.