kanyanga
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 110
- 68
Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba atakuja na mwenzake