Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima kwenu wadau? Nina rafiki Yangu wa kike tumedumu mwaka 1 na ninakaribia kumtangazia Nia but nasita sita kila nikiangalia baadhi ya mambo 1:familia anayotoka haina uelewano kuanzia...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Haya wadau eti ukiwa ktk mechi za league kuu ni marufuku kufanya rafu kama kuunyoosha mguu na kupiga shuti refu eti utamuumiza mchezaji na Kadi zake zinamadhara mechi zijazo. rafiki yangu huwa...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
pointi ipi mmeikubali wakuu??
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Pamoja na kuwa na nguo nzuri, kuwa na mwili mzuri wa kukaa nguo (kuna watu hata umvalishe nguo nzuri namna gani bado hatopendeza), nimekuwa nikiboronga katika uvaaji, jinsi ya kujua nguo gani...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Unajua nashangaa sana, kwani siku hizi imekuwa ndiyo habari ya mjini ikizungumzwa kwa kunong'ona. Sikuwa naelewa vizuri mpaka nilipoiona kwenye Luninga kupitia kisimbuzi hiki kipya-kipya. Watu...
5 Reactions
54 Replies
14K Views
HAPPY PEOPLE!! Heri ya weekend na Happy JF party. Wakuu nina kitu naomba tusaidiane kutoa ushauri. Naomba tusome taratibu ili tuelewe hasa kinachoongelewa. Kuna mdada mmoja ni mpenzi wa rafiki...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
As long sivunji sheria,sidaiwi, na mi si mharifu,siyo mzinzi kiasi nijinyime uhuru kiasi hicho
1 Reactions
225 Replies
15K Views
Hawa jamaa wamenitesa sana, mpaka nikatoswa na Demu wangu Halima,mana najulikana nafanya kazi, napata mshahara lakani hata demu wangu akija gheto hakuti mabadiliko, room iko vilevile, tena chumba...
20 Reactions
72 Replies
9K Views
Habari zenu wana MMU? Nimeona nilete mada ijadiliwe humu jukwaani, Ni kuhusu mitindo yetu ya maisha hususani suala la ulaji, uvaaji na uburudikaji(eg.smoking & drinking etc), Kama wewe ni mtumiaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mapaenzi yamezidi kutafssiriwa kwa namana hasi na wengi wetu kwa kadri siku zinavyozidi kwenda mbele. hivi hakuna uwezekano wa kuayapatia mahusiano na maenzi yetu tasiri mpya?tafsiri yenye mtazamo...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Heri ya mwaka mpya wote wana mmu ... Back to topic .. Katika hali ya kushangaza maduka ya vipodozi mwenge mengi yana vibali kutoka TFDA wanauza spray ambazo ni expired kilicho nishtua kuna duka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa nahudhuria kikao na wadau wengine katika sekta ninayofanyia kazi, tulipobreak kwa breakfast nanyanyuka huku nikicheka na wanawasha wenzangu, oh my God! damu zimejaa kwenye kiti na sketi...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi "maisha kwako bado sana na wewe mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lakini sijui maisha yangu yatakueje...
0 Reactions
118 Replies
13K Views
Kuna wakati mtu unaweza kukabiliwa na mtihani fulani ambao unaweza kuupatia suluhu lakini kutokana na Ego ukajikuta unashindwa kukabiliana na mtihani huo. Labda kwa kifupi tu nieleze nini maana...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari wana JF naamini mko poa, leo na mi nataka kuzungumzia kitu amabcho nimekiona kwa wanaume wengi tumekuwa tukifanya. Unakuta mwanaume unaanzisha mahusiano ya online na Mtoto wa kike...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
salaam wakuu kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanandoa wemzangu tujaribuni kufanya Lila jambo ktk kumtegemea Mungu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimekutana na mambo ya ajabu facebook. kuna msichana amepost picha zake akiwa uch na akifanya mapenz na mpenz wake walieachana. kuuliza ukweli mdogo wa msichaka kasema mchezohuo unafanywa na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hello, i am Colins, A male aged 29, Can,t sleep aisee, Any1 wana talk,sms or whatsAp?, I,m friendly,each to get along to,fun and gentle, Just hollar pls 0688 65 82 92. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…