love is blind...nipo sahihi kumuoa huyu mdada?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Heshima kwenu wadau?

Nina rafiki Yangu wa kike tumedumu mwaka 1 na ninakaribia kumtangazia Nia but nasita sita kila nikiangalia baadhi ya mambo

1:familia anayotoka haina uelewano kuanzia yeye na ndugu zake kila siku mgogoro

2.wazazi wake wameachana mud a mrefu nahisi nae anaweza asidumu kwenye ndoa kama wazazi wake

3. Past take so nzuri list ya x ni ya kutosha

He nipo sahihi kumuoa huyu mdada maana kumpenda nampenda sana
 
when u go in rome,do as romans.hayo yote uliyoyasema hayana tija,inawezekana maisha anayoishi ndiyo yamemfanya awe hivyo coz makosa ni ya wazazi na sio yeye.kuna baadhi ya wazazi wanafanya divide n rule na mbaya zaidi wakiachana basi inakuwa survival for the fitest kwa watoto.hapo maelewano lazima yasiwepo.
 
Wewe unaoa familia yake au yeye past ya mtu isikufanye umjaji mtu wangapi past zao walikuwa na tabia njema lakini sasa ni viruka njia.

Just for love
 
mapenzi ya watu 2 kama unayafaham mapungufu yake ww na yy myajennge vema, mwingne anaweza kuwa na hayo hayo cha msing badilishen mfumo wa huko alikotoka
 
Kama unataka awe mpenzi tu wakawaida go ahead but kama ni ndoa kabisa na future ni kupata watoto, huyo si mke. Kuna sauti kwenye akili yako inakukataza kuoa huyo dada japo moyo unakulazimisha, isikilize hiyo sauti huo ndio ukweli. Familia ni moja kati ya mambo mengi yanayofanya mke kua bora.
 
.....hiyo past yake umeijuaje???
 
Wewe unaweza kumbadili yeye pamoja na nduguze. Hakuna shida yoyote
 
Kama unataka awe mpenzi tu wakawaida go ahead but kama ni ndoa kabisa na future ni kupata watoto, huyo si mke. Kuna sauti kwenye akili yako inakukataza kuoa huyo dada japo moyo unakulazimisha, isikilize hiyo sauti huo ndio ukweli. Familia ni moja kati ya mambo mengi yanayofanya mke kua bora.

Jaman sis ambao family zetu zina migogoro tuolewe na nani.....mim sipend iz judgement according to my family....hao waliolelewa na wazazi wote ndo hawana shida
 
Na kila mtu atatete tabia yake ili ionekane sio tatizo.
 
Kama mnapendana,usijali! mapenzi yana nguvu sana,jaribu kuwa muwazi sana kwake juu ya kero zako kabla hamja piga hatua yoyote ktk mahusiano yenu,kama anaonesha kuzingatia usemacho na kujaribu kufanyia kazi (kubadirika kama kuna dosari) basi mnaweza kupiga hatua ktk mahusiano yenu (ndoa).
 
upande wa kike unaonewa sana! sijui kwa vile wao wana moyo wa kutunza siri sana?

sasa kama yeye ana x lukuki, wewe una Y ngapi huko nyuma?

matatizo ya ndugu kugombana, yanawahusu nini, au huwa wanakuja kugombania chumbani mwenu?

kama kweli una akili, tumia nafasi hiyo kuleta amani katika familia hiyo, siyo kulalama mbele za watu!

migogoro uliyoikuta katika familia hiyo, kuwa nafasi ya usuluhishi... sio ulalamishi kwa watu!
 
Heshima kwenu wadau?

Nina rafiki Yangu wa kike tumedumu mwaka 1 na ninakaribia kumtangazia Nia but nasita sita kila nikiangalia baadhi ya mambo

1:familia anayotoka haina uelewano kuanzia yeye na ndugu zake kila siku mgogoro

2.wazazi wake wameachana mud a mrefu nahisi nae anaweza asidumu kwenye ndoa kama wazazi wake

3. Past take so nzuri list ya x ni ya kutosha

He nipo sahihi kumuoa huyu mdada maana kumpenda nampenda sana

Wrong number, uasili haupotei utakuja kuniambia......!
 
Kama unataka awe mpenzi tu wakawaida go ahead but kama ni ndoa kabisa na future ni kupata watoto, huyo si mke. Kuna sauti kwenye akili yako inakukataza kuoa huyo dada japo moyo unakulazimisha, isikilize hiyo sauti huo ndio ukweli. Familia ni moja kati ya mambo mengi yanayofanya mke kua bora.
Kwa hiyo na wanaume waliolelewa na wazazi waliotengana hawafai kuoa? Mbona mawazo ya ajabu sana hayo.
 
Hata kama watu watakataa lakini ukweli bado utabia kuwa jinsi familia ya unayetaka kujenga neye familia ina msingi sana katika maisha yenu ya baadaye unachokiona ndicho kitakachoipata familia yako hapo baadaye
Mifano iko mingi mitaani ya watu walioambiwa usioe au usiilewe na yule kijana, wao wakapuuzia lakini wanayokutana nayo ni majuto yanayodumu maishani.
 
when u go in rome,do as romans.hayo yote uliyoyasema hayana tija,inawezekana maisha anayoishi ndiyo yamemfanya awe hivyo coz makosa ni ya wazazi na sio yeye.kuna baadhi ya wazazi wanafanya divide n rule na mbaya zaidi wakiachana basi inakuwa survival for the fitest kwa watoto.hapo maelewano lazima yasiwepo.

asante
 
Back
Top Bottom