KWa upande wangu binti awe:
1-Asiwe na uvaaji kama stejishow wa bongoflava
2-Asiwe muongeaji na mlopokaji kama cherehani
3- Napendelea mweusi, makalio makubwa hapana labda yaje baadae baada ya...
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na Khadija mwanamke ninayempenda sana.
Sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo, nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na...
Nimeshuhudia sana hii tabia kwa wanaume wengi. Mtu akikataliwa na mdada anaamua kukomoa anamtongoza rafiki yake alafu anamgonga. Wakati mwingine ndugu yake ana mgonba na anaonyesha hadharani.
Huu...
Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.
Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo...
Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning....
Lakini cha ajabu hakutokea kama...
Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku...
Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati.
Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme...
Hi guys ππ
"Wanawake tunatumia muda mwingi kutafuta makosefu ya wanaume badala ya kuangalia nakua-acknowledge ya kwetu."
Ni muda mrefu sana sijaandika kitu humu ila leo nimeona nishee jambo na...
Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia
Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not...
Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii
Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek
Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae.
Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter...
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.
Alafu kwa upuuzi na ujinga...
Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore
Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke
Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma...
Dogo atupe awape michongo hata wenzake asiwatambie tu
Nilipo Norway mi bado nakomaa sijafika level za kuwapa michongo
Ila yeye anaeleza maisha very simple kana kwamba pesa wanaokota
Anyway...