Mungu anisamehe, niliwahi kufanya mapenzi kanisani

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,700
Wakuu,
Mwaka 2023 ni mwaka ambao nilifanya ushetani huu, kanisa huwa lina ka chumba ambako kanaweza kutumika kama store!

Bwana ee nikapata kimchepuko ambacho nilikisotea kwa muda mrefu geti kali. Hako ka chumba hakakuwa na mlango,nikaingia nae humo nikaichapa,licha ya kuwa nilitubu ila bado nafsi inanisuta.

Nisamehewe!
 
kama mchumba unambokoleaje store na eneo la kanisa

au kutofautisha hawala na mchumba hujui
 
Wakuu,
Mwaka 2023 ni mwaka ambao nilifanya ushetani huu, kanisa huwa lina ka chumba ambako kanaweza kutumika kama store!

Bwana ee nikapata kimchepuko ambacho nilikisotea kwa muda mrefu geti kali. Hako ka chumba hakakuwa na mlango,nikaingia nae humo nikaichapa,licha ya kuwa nilitubu ila bado nafsi inanisuta.

Nisamehewe!
Wewe ni moja kati ya vijana wa hovyo ambao mnaoshika chati Jf kwa sasa
 
Nadhani ilikuwa mwaka 2003 mwezi wa 12 mkesha wa krismas kanisan anglican(eneo kapuni), tulikuwa mm, kakangu wa baba mkubwa, na mabinti watu wa familia moja....ngoja ninywe maji

-maandaliz yalianza mapema tarehe 24 jioni, tukatafuta kanda za vuwello, marhumbini, solomon. Nkounkou..na redio casset, na wote tulikuwa waimba kwaya..
-tukaingia ibada ya mkesha jion na wakristo wengne, ilipofika saa sita usiku tukapga kelele, ile ya kuzaliwa kwa yesu. Ibada ya kanisa ikaishia hapo.
-wakristo na mchungaji walipotawanyika, sis mtu sita tukabaki kanisani, tulicheza muziki dunia humo ndani,
-shetani ana nguvu wakuu, tulipgana denda humo, sikumbuki kama tulifanya matusi sina kumbukumbu vzr, na kama hatukufanya basi ni rehema za MUNGU ziliingilia kati...baadaye nilikuja kuwa mwinjilist had natoka huko..

1. mikusanyiko ya kanisa kama makambi nyakati za usiku kuswagana ni kama mpo chuoni mmemaliza UE.

2. KWAYA HUWA ZINAKUWA KAYAMBA
-MNAZIJUA KAYAMBA
 
Wakuu,
Mwaka 2023 ni mwaka ambao nilifanya ushetani huu, kanisa huwa lina ka chumba ambako kanaweza kutumika kama store!

Bwana ee nikapata kimchepuko ambacho nilikisotea kwa muda mrefu geti kali. Hako ka chumba hakakuwa na mlango,nikaingia nae humo nikaichapa,licha ya kuwa nilitubu ila bado nafsi inanisuta.

Nisamehewe!
Ushetani upo wapi hapo mkuu ?
 
Ulitubu kwa nani?
 
Aisee Kuna muda najihisi hatia kuwa mm n mtenda dhambi

Ila ww umeni overtake
 
Muombe Mungu wako msamaha
Hapa umekuja kutupa taarifa
Au unakusudia tukuombee msamaha kwa Mungu wako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom