Sio kila mahusiano yatafikia ndoa!

Sio kila mahusiano yatafikia ndoa!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Kila anaeachana na mpenzi wake, atasema tulipendana na tulipanga kuoana,
Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Mapenzi na maumivu yake pamoja na kukukomaza kiakili
Usilalamike sana ukitendwa/ ukiachwa!
 
huwa nachukia sana unakuwa na MTU hat a mwaka haujaisha ye anawaza kuolewa tuuuu! kuna mijitu huwa inaboa kweli!
 
Hivi unajisikiaje kuwa katika mahusiano ambayo unajua kabisa hakuna future????
 
kweli mtu akisema hakutaki muache aende zake ,kama hakutaki hakutaki tu,mi nashangaa mwengine utasikia siwez kuishi bila yeye..nonsense
 
yah!ni kweli mkuu usemacho.

Bora wewe umesema kweli, na wanaolazimisha ndoa mwisho wake huwa ni kilio, huku wakiomba ushauri kila siku

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza

Kwingine kote upo sahihi kiasi isipokuwa hapa umetupotosha, kimsingi umeandika uongo.

NB: Am assuming mungu = Mungu
 
Back
Top Bottom