Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,676
- 3,143
Habari zenyuu wana j.f. Kichwa cha habari kinahusika. Takribani mwaka sasa umepita tangu nianze kushea maisha na huyu dada. Mimi napiga kibarua nimemaliza six. Lakini nipo 2nd yr university. Huyu dada amemaliza o level. Anapiga kibarua pia. Mkwanja wake na wangu tukijumlisha kwa mwezi unakidhi mahitaji mpaka bata.
Si ndiyo nikaamua kumshauri huyu dada areset paper japo apate credit za diploma. Mdada kakukbali na ameanza skuli tangu jan. Duh!!!!!!!!!!!! Najuta pale shule kakutana na mabishooo wana mikoko. Basi ndo kaanza dharau yaaani amejanjaruka huyoooo. Majibu yake anaonekana yupo tayari kwa lolote. Full time anaongea na simu. Imefikia najuta. Naomba msaada wa kimawazo. Please!