mpole kazini
Member
- Oct 23, 2013
- 45
- 20
miezi miwil iliyo picha nlikuwa stend nasubiria gari gafla ikaja gari aina ya noha ikawa inapakia town 1000 sasa nikabahatika kupata nafasi ya kuingia katika ile gari na kukaa siti zote zili jaa sasa gari likaenda mpka mnazi mmoja watu wengi tu wali shuka nika baki mimi na dada mmoja tuu ambaye alikuwa mzuri sana alikuwa amejaaliwa mavi ya kufa mtu na nguo aliyo vaa usiseme yule mdada mm na mfaham sana tu kama ameolewa na hana watoto na mme wake ni rafiki yangu sana aiwezi kupita siku bila kuwasiliana mana whatsapp nilishangaa yule deleva wa gari akiwa anachombeza taratibu na yule dem akaingia kweny 18 za yule mzee kwa kuwa mzee mwenyew alikuwa anaonekana na njaa ya pesa kwa sababu tulivyo panda lile gari alisema nimeamua kuwasaidia tuu jaman ili tuwahi makazini kwa hiyo alikataa zile pesa tulizo taka kumlipa sasa yule dem aka mpa yule mzee namba basi tokea siku hiyo yule mzee akipita stendi na gari yake anaipaki kwa mbele yule dem anaenda anapanda wanasepa na rafiki yangu tokea siku iyo analala mika amwelewi mke wake.