Why most relationships na ndoa nyingi dont last nowadays

Why most relationships na ndoa nyingi dont last nowadays

Joined
Feb 16, 2014
Posts
67
Reaction score
31
Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari kashaanza kukuomba uchi..hivi ndani ya siku moja unaweza ukawa umemjua mtu vizuri?hujui background yake,hujui kawa na wanaume wangapi uko nyuma ww unawaza kumpeleka kitandani tu..kwa style hii ukimwi hauishi aisee..

Ushauri wangu jamani naweza nikaonekana wa zamani ila ni muhimu kujipa time kumfahamu mtu utakaekua nae..atleast ata anakaa wap,ametoka kwenye familia ya aina gani na je kama atakufaa na unaweza kua nae kwa mda mrefu..tuwe wavumilivu na tusiwe controlled na miili yetu..hizi tamaa za mwili mbna ni kitu cha mda tu.!it doesnt break a bone to be patient,infact it helps alot apo ndo unakuta unaoa mtu baada ya wiki moja unaanza kujita.!tusisingizie nyakati,ur are the master of ur decision.!
 
Basi sawa.asante kwa ushauri!! Karibu tena!!
 
watu wamechoka na hizo sera, unatumia mda kutaka kumjua mtu wajanja wanakuja wanagegeda wanatimua zao mbio,ukija kushtuka pameshakucha, na huyo uliyekutana nae leo akakuomba kesho yake mbona kakufanyia heshima sana?
 
Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari kashaanza kukuomba uchi..hivi ndani ya siku moja unaweza ukawa umemjua mtu vizuri?hujui background yake,hujui kawa na wanaume wangapi uko nyuma ww unawaza kumpeleka kitandani tu..kwa style hii ukimwi hauishi aisee..

Ushauri wangu jamani naweza nikaonekana wa zamani ila ni muhimu kujipa time kumfahamu mtu utakaekua nae..atleast ata anakaa wap,ametoka kwenye familia ya aina gani na je kama atakufaa na unaweza kua nae kwa mda mrefu..tuwe wavumilivu na tusiwe controlled na miili yetu..hizi tamaa za mwili mbna ni kitu cha mda tu.!it doesnt break a bone to be patient,infact it helps alot apo ndo unakuta unaoa mtu baada ya wiki moja unaanza kujita.!tusisingizie nyakati,ur are the master of ur decision.!

hapa mjini unaweza kumfahamu mtu kweli? kuna mwanamke anayesema ukweli wanaume alikwisha kuwa nao?pengine kuwataja kwa majina na sababu za kubreak nao na ziwe ni kweli?
 
Mbona mdada unafahamana nae leo,jioni anahitaji hela za matumizi?
 
Mwanaume najua ninachotaka habari ya kuchunguzana sijui nn sijui nn kuna biashara gani tunataka kufanya ?
kama mzigo hutaki kutoa endelea na mishe nyingine mujini mambo ya kupotezeana muda na fedha ya nn
halau baada ya kuchunguza unakuta hata 0713 watu walishapiga kitambo dah.
"ukimchunguza bata hutamla" wahenga nao walishajua kitambo.
 
Nafikiri miaka 4 ya uchunguzi yakinifu inatosha
 
Nafikiri miaka 4 ya uchunguzi yakinifu inatosha

Miaka minne kwa kizazi hiki utakimbiwa, tena utakimbiwa na wengi.
...Tatizo nadhani hatua za urafiki hatutaki kuzifata tena. Watu wanaanza leo, jioni wapo kitandani, wanapeana mazawadi (kurubuni penzi).

Lazima tupitie hatua muhimu za urafiki hadi uchumba.
 
...we kabintispecial ni mtu wa ajabu sana,kwanini uanze relationship na mtu usiyemfahamu ?ukiona mtu anataka relationship bila kufahamiana ujue kakutamani na wala sio muoaji/muolewaji. Pili mimi najua relationship ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa ambayo inahusu kufahamu ndugu jamaa na michakato yote kuelekea uchumba, nje ya hapo ni uzinzi tu wa kawaida na usisingizie relationship hata kama mpo miaka 5 pamoja....
 
Last edited by a moderator:
Kweli umepitwa na wakati !!!. Inategemea aina ya mahusiano mnayotaka kuingia kuna mtu anataka ku-DO akidhi mahitaji ya mwili na kuishia zake naye unataka mtumie mwezi kujuana tabia. Wa kujuana tabia ni yule mnataka kuwa mke na mme basi ndo wa kujipa muda wa kujuana vizuri
 
Back
Top Bottom