Team member wa teamBazazi anapolikoroga

Team member wa teamBazazi anapolikoroga

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,375
Reaction score
111,700
screenshot_0.jpg

Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni jambo la kawaida kwetu wanaume 'kugonganisha magari' bila hata haya.

Kijana wa kiume au mwanaume anaweza kuanzisha mahusiano na mabinti au wanawake kadhaa na wote anawapa ahadi za ndoa.

Nimewaza na kuwazua kivivu na sentensi hii ikapita akilini kwangu, "Hivi itakuaje pale wadada tuliowatenda wakaamua kutukomesha siye mabazazi kwa kujioganaizi na kutuibukia na mashela siku ya ndoa zetu makanisani au sehemu nyinginezo zifananazo na hizo?".

NB:
Waione mabazazi wote:
Nicas Mtei, Mentor, KakaKiiza, Rogie, Asprin, mwekundu, Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Kaka mimi hili nimeliwaza juzi, nikakata shauri la kuanza kuwapunguza mmoja baada ya mwingine.
 
hehheehe!! muandae baunsa la kukaa kwenye geti kanisani hiyo siku.
 
Ole wenu anitaje mtu hapa PATACHIMBIKA aisee........!!!!!!!!!!
 
Ha ha haaa ikitokea kama hapo kwenye picha asee waeza kufa!!!!
 
Itaumiza kihisia tu, lakini kiuhalisia kama hujawahi oa unaruhusiwa kuoa hata kama ulikuwa una wanawake alfu moja.

Ila sasa uliyemchagua atakusamehe kweli?
 
Shahidi yangu Nicas Mtei, nikamuwekea na hii picha.
ImageUploadedByJamiiForums1392027392.801146.jpg
 
Last edited by a moderator:
Karucee njoo sasa uone

Si nilikuambia kua Zinduna alinipakazia?

Hii hapa timu halisi ya mabazazi!
 
Last edited by a moderator:
Itaumiza kihisia tu, lakini kiuhalisia kama hujawahi oa unaruhusiwa kuoa hata kama ulikuwa una wanawake alfu moja.

Ila sasa uliyemchagua atakusamehe kweli?

alafu ajabu unayekuja kumuoa anaweza asiwepo kabisa katika list akawa ni mtu mwingine kabisa (mpya) kweli mapenzi hayana adabu.
 
Back
Top Bottom