Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninafanya kazi, nashukuru ni kazi nzuri kiasi, imeniwezesha kufanya mambo mengi ya maendeleo.. Siku za nyuma kidogo tulikuwa na kazi ya ofisi ambayo ilitulazimu kufanyia nje ya ofisi(special...
5 Reactions
261 Replies
26K Views
Wanawake wamekuwa hawajiamini katika mahusiano na ndoa zao na muda mwingi huhisi wanaibiwa wanaume, ukienda kwa waganga wa kienyeji wanawake wamejazana kutafuta madawa ya kuwatuliza wanaume hasa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Uko wapi angalau nije nikusabahi? JITOKEZE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumlinda mpezi ni sawa na kulinda bahari.unalinda kigamboni wengine wanavua bagamoyo.yataka MOYO!
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Mdogo wangu aishie moshi anatafuta mke mkristo born again. kazi yake ni mwl. wa shule ya msingi yupo moshi(wilaya ya same). umri wake ni 33yrs. kama uko serious pm nikupe namba yake ya simu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana...natumaini mko poa. Jamani niko kijiweni hapa na washikaji,umezuka mjadala mzito kuhusu mpango mzima wa kuzama chumvini na ulambaji koni...baadhi ya wadau wakijaribu...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
hallow wana JF Najitokeza kwa mara kwanza hapa JF kutafuta rafiki wa kike ambae baadae atakuwa mke wangu,mimi nina sifa hizi -umri wangu ni miaka 36 -urefu ni cm 168 -siyo mwemba siyo mnene ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwangaruka Sio Kila Rafiki anafaa kuwa Rafiki yako Maishani. Kuna Watu ninaowajua wamefanikiwa through Friends, na wengi ninaowafahamu Maisha yao yamebomoka kupitia hao hao Marafiki. Nyakati...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Juzi kwenye saa sita mchumba wa jamaa yangu wa karibu sana alinipigia simu kuniuliza kama niko ofisini anipitie tukale nae lunch. Saa saba kama dakika kumi akapiga siku kuniambia ameshafika yuko...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Msaada jamani jinsi ya ku mbikiri mtu, ana nguvu na kuruka kama simba!!tusaidiane wadau...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Leo nimeamua kuwaletea huu uhalisia. Bila shaka tunawajua dada zetu wanaotumika katika Bar mbalimbali maarufu na zile zisizo maarufu. Ulishawahi kujiuliza wanalipwa kiasi gani? Juzi nilikuwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Za leo wakuu! Nina mschana ambaye tunapendana kwa dhati sana, ananipenda na ninampenda ila bado hatujatambulishana kwa wazaz......na tunamahusiano huu mwaka wa tatu. Lkn tatizo ni kwamba! Huyu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wadau, Kwa waliondani ya ndoa na wengine wanaoishi pamoja wapenzi wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuweka ratiba ya tendo la faragha /ndoa mfano wengine kwa wiki mara moja, kwa mwezi mara...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
kama heading inavyosema, nna e71 yyt mwenye androad smart 4n tubadilishane, na kama ikiwezekana nmuongezee ela, it depend na hadh na quality ya cm yako..npo dar.. Nb. Blackbell na nokia cziitaji
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana MMU naombeni msaada wa ushauri.. Kabla sijaoewa nilikua na tabia ya kuwanunulia wazazi wangu zawad mbalimbali..mfano nikimnunulia mama vitenge au makatalogi yaliyotoka baba nae humnunulia...
0 Reactions
102 Replies
8K Views
Wamama & wadada wa JF habari zenu, haitakiwi kutoa siri za wanaume wenzangu, ila lazima niwaambie, muwe MAKINI KWA WAUME ZENU UKIJIFUNGUA HADI MIEZI 6 HIVI wakati unaendelea kulea, mumeo/ BF wako...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Wana Jamvi, Mimi nafanya kazi kwenye mabasi ya kwenda Mombasa yakitokea Dar es Salaam ( Tahmeed ) na vice versa Katika harakati zangu nimeshakupambana na Wadada wa Kikenya wawili ni wazuri kwa...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Kuna mdada 1 niliwahi kutoka naye kama miezi 6 ilopita, nilitumia condom, kabla ya tendo alininyonya uume, wakati ananyonya alikua akiung'ata ng'ata sana mpaka nikawa nasikia maumivu. Kuna siku...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Sio ajabu sikuhizi ukipita kila kona utakuta watu wengi wakipoteza muda wao mwingi wakijihusisha na matendo machafu ya ngono ikiwa aidha kupenda ngono, kutongoza ovyo ovyo, kuangalia ma porno...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani bandugu mi natafuta mpenzi wa kuanzanae maisha yaani kufunga nae pingu za maisha awe mke wangu.awe natabia nzuri pia awe mwalimu wa shule ya msingi! Ambae yuko tayari tuwasiliane!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…