Nifanyaje?

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
134
55
Nina 29rs,sijawahi kungonoka,nasubiri siku ya honeymoon, sinapesa za mahari na harus,kisaikolojia naathirika nifanyaje?
 
Nina 29rs,sijawahi kungonoka,nasubiri siku ya honeymoon, sinapesa za mahari na harus,kisaikolojia naathirika nifanyaje?

Nahisi wewe ni mwanaume, imenibidi nipige kimya tu. Ila usingekuwa hivyo ningekushauri na kukusaidia mwenyewe...
 
Namshukuru Allah amenirudishia akili yangu nilichotaka kucoment hapa sijuiii
 
Mke umemtafuta jf unataka na mali wakusaidie . Kama huna mweleze mpenzi wako awataarifu wazazi harusi si lazima sherehe .
 
Tafuta pesa ya mahari tu...harusi waachie wenye pesa zao
 
Hvi stress za kutokua na raman mbaya sana!

...kweli kaka, raman kchwan zikishavurugika halafu ukakata tamaa ya kudraw upya unapotea mazima, hii dhana ya kusema sitaweza tena dah inakuua.
 
Back
Top Bottom