Sio kuumbwa tu, wanawake wanatengenezwa pia

Sio kuumbwa tu, wanawake wanatengenezwa pia

said rashid

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
203
Reaction score
113
Salaaam wanaMMU wenzangu! Hakuna kitu wanaume tunapenda kama kumpata mwanamke mwenye uzuri wa umbo na tabia, naamini na hata kwa wanawake ipo hivyo pia.

Awe na sura nzuri, mguu mzuri, macho mazuri, ngozi nyororo, nywele, na lile eneo la kati awe nalo zuri haswa; kwa kifupi namba 8. Mchangamfu, mstaarabu, lugha nzuri, mwenye upendo, akili za maisha, heshima na kadhalika. Ila sio mara zote kuweza kumpata mwenye sifa zote, nyingine sasa tuwatengenezee! Unamwacha mpenzi wako na kwenda nje kisa nywele na ngozi, saloon zote hizi? Mimi mwanzo sikumpenda saana mpenzi wangu, because alikuwa na kama 81% ya sifa za mwanamke bomba na u busy ikawa tatizo.

Likizo hii nilimgharamia make up, mavazi na tukajengana ki tabia.

Sasa ni kama angel, hata miss gani haniumizi kichwa.

A call upon my fellow men, kama hujaridhika saana na mwenza wako ila unampenda basi usimbwage wala usichepuke.

Anatengenezeka, mtengeneze tu awe mwanamke umtakaye. Vinginevyo hakuna mwanamke atakayekukidhi hapa duniani!
 
umeongea point sanaaaaa big up
wengi wao hawalijui hili hasa wanaume wanaona aibu hata kutambulishana
unakuta .mtu anatamani cha jirani na wakati cha kwake kinatengenezeka
ukiona mpenzi wako havutii wa kumfanya avutie ni wewe mwenyewe
 
Wanataka ready made siku hizi,hawataki kuhudumia!!!
 
Miss-Democratic-Republic-of-Congo_DX-News_9Q50AR.jpgNa hako kweli hakakuumizi bichwa???
 
kwa kweli umesema vyema mkuu
wanaume wa siku hizi wanataka watengenezewe kisha wao wameze bure
bila ya hata kugharamia kwani wamezoea mteremko kabisa
 
Unadhani wengine watakuskia hapa? Kazi kulialia tu humu kisa kugharamia!! Btw-ni habari njema hiyo!!
 
umenena ukweli huwez pata mwenye 100%ya sifa unazotaka nyingine uhimu kumtengeneza utakavyo wanaume wanataka aliyekamilika kila nyanja ndo mana wanaishia kuchepuka
 
Unadhani wengine watakuskia hapa? Kazi kulialia tu humu kisa kugharamia!! Btw-ni habari njema hiyo!!

ha ha ha ha umenikumbusha post jamaa alikuwa analia lia kisa gal kamwomba pesa tna pesa ndogo
 
sorry kama umeudhika nalo.
ila nimeona umetoa picha hapa ndo maana nikauliza?
kwani nimekosea?

mi sio mwepesi wa kuudhika dada; ukizingatia watoto tulozaliwa mwisho huwa hatuna hasira kabisaaaaaaaaaaaa; ok. ukijua kwamba ndiye itakuwa vipi?
 
heeee! kumbe wewe ni mwisho hongera zako ila..........

kwani ni kosa kutaka kufahamu jamani
si uniambie tu ili moyo wangu uridhike basiii


mi sio mwepesi wa kuudhika dada; ukizingatia watoto tulozaliwa mwisho huwa hatuna hasira kabisaaaaaaaaaaaa; ok. ukijua kwamba ndiye itakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom