Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadau. Mwanangu ana umri wa miaka mitatu katahiriwa agosti mwaka jana. Sasa tokea apone mkono mara kwa mara anapeleka kunako dudu, je hii ni kawaida kwa wanaume, na vipi haina...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani nasikiaga tu suruali ya kike, shati la kike kaptura ya kike etc mbona sijawahi kusikia gauni la kiume, sidiria ya kiume, gaguro la kiume, blauzi ya kiume etc?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wnajamvi nimeshikwa na nyege sana of lately. Nifanyeje zishuke? sina mchepuko ulio karibu na njia kuu imefungwa na strabag kwa matengenezo. Msaada.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna hii website iliyojulikana sana miaka ya nyuma, hasa kwa mateenagers. Enzi hizo bado nipo sekondary, nakumbuka, mtu uliweza kuingia kirahisi kwa kucreate tu username halafu ukajiunga...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumbani harusi ilikua mwezi wa 5 tangu nimemwambia ninamimba anarusha miezi mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho, wazazi wa pande mbili hataki...
2 Reactions
116 Replies
14K Views
Wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars wamesimamishwa kuichezea timu hiyo kwa kujihusisha na ulevi.Hii ni skandali ya pili kuikumba timu hiyo baada ya ile ya usagaji iliyoibuka...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
msichana wife material anatafutwa. sifa zinazotakiwa: Age not above 35 Education....not below form iv Religion..any but christian will be preferred Awe ready for marriage a year later. Awe...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
1: Flat mbele na nyuma n very slim! Hawa huwaga mamiss mara nyingi wanafanana na no 1 2:Mbele flat nyuma maashallah ,wapo japo si wengi kivile , hawa wamefanana na no 5 3:Shepu no 8,hapa ndio...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa salamu ndio ufunguo wa mazungumzo yawayo yote, kwa kulijua hilo nimepita kuwasabahi ndugu zangu, HABARI ZENU JAMANI...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya mapumziko wanakiji wenzangu, basi kama ilivyo kawaida ya kijiji chetu ni kushirikishana katika mambo yanayotujenga na kuimarisha mahusiano yetu na si kuboa ndo maana kijiji kina...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la Francis Kevogo, amelazimika kumtoa mkewe mwenye umri wa miaka 43 ili kufidia deni la Sh900 za Kenya (Sh17,100) analodaiwa na kijana wa miaka 22, Patrick...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Najisikia leo kukaa na demu ambaye sijawahi kumuona, nikae naye walau hadi mishale ya saa 2 hivi; tukapate lunch, vinywaji, tubadilishane mawazo ila tusiingie kwenye majaribu ya kuvunja amri ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mie nina umri wa miaka 25 Ninatafuta rafiki wa kike miaka 18-30 wa kuchat naye na kabila na dini yoyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mdada tunaheshimiana sana na pengine amekuwa kama adopted sister kwa upande wangu, anajua A - Z kuhusu majanga yangu na wadada wa mjini na pengine anatumia muda wa kutosha kunishauri. Sasa...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
GT ili jambo nimekuwa likinishangaza na kunihudhi kwa muda sasa, wanawake walio wengi hasa wadada wanapenda kuanika kufuli zao nje. Hii inakera sana hasa katika nyumba hizi za kupanga, unakuta...
0 Reactions
89 Replies
17K Views
Wote wenye uzoefu nijuzeni wake kwa waume. Baada ya siku za mwanamke kuonekana yaani hedhi au kwa kingreza "MP" inachukua muda gani toka siku ya kwanza kufikia siku ambazo akifanya mapenzi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sio kila siku nyuzi za Mapenzi tu humu, Leo tubadilishane kwa kujua Mpenzi wako unamwitaje kwa Kilugha Chenu.... Mimi kwetu KISUKUMA Namuita "Munhya wane" Samahani kwa msiojua kikwenu.
0 Reactions
73 Replies
30K Views
Heshima mbele. Nimejiunga JF mwaka 2012 ila mwaka jana sijapata nafasi ya kupitia JF kutokana na ubize wa masomo ya sekondari yaliyopelekea kumaliza vizuri, makofi tafadhali. Baada ya kurejea...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Mh ni ugonjwa gani huu?kama ni kweli upo tubadilike...yan i shocked to see this loh!
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…