Simu ya mkononi ni kama roho ya pili ya mtu ukitaka kumjua vizuri mtu chunguza sana simu yake ya mkononi....
sasa naomba kujua kwanini wanandoa wengi hawapendi mume/mke ashike simu yake kuna nini...
Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina...
Kwako bwana utafitisalam.
Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am...
1: Mpe hela
2: Yani Mpe hela
3: We mpe hela
4:Nakwambia mpe hela.
5: We mpe hela tu utaona....!!!
Kama huamini acha kumpa hela uone matokeo yake, acha ubahili we mpe hela.
Ni kawaida watu kila leo kudai hapa kuwa nina boyfriend/girlfriend/mume/mke au mchumba ambae tunapendana,wengine hufikia kusema kuwa NINA HAKIKA TUNAPENDANA halafu mtu huyohuyo anatoa dukuduku...
kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia wadada na wanawake wakipiga picha wanageuka sasa sijajua kwanini kwanini hampigi picha zenu kwa muonekano wa mbele nyuma kuna nini kwani?kwa wapenda...
woman's tears v/s man's tears!!!!!!
Dont make a woman cry because there is nothing more expensive than a lady's tears.
when a single drop comes out, it first mixes with Loreal eyeliner...
Habari za mchana wapendwa.
Hebu tujaribu kujadili umuhimu wa hii elimu ya psychology kwenye mahusiano mfano umempata mwenzi wako na mko pamoja mnaishi kati yenu mmoja akiikosa kuna madhara ?
Walikuwa masingle girls na wanawake walio olewa.
Jirani yangu alikuwa akiwarushia pesa, anawanunulia gari na nyumba.
Aliwachanganya kweli kweli.
Walimfanya ATM na mbaya zaidi waliakikisha...
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila...
Habari wadau?
Nadhani kila mtu anajua siku hizi ni ngumu kumkuta msichana yuko single kwahiyo wengi tunakwapua tu!
Kuna huu mtindo mtu akishafanikiwa kukubaliwa na demu na wakaanzisha uhusiano...
Hizi ni salamu kwa baba J na wanangu, nampenda kwa jinsi anavyotujali na namtakia yeye na wakiristo wenzake Kwaresma njema. Mwenyewe anataka wanae wabatizwe siku ya pasaka, mie sina tatizo wanangu...
Ndugu watanzania...
Katika nyumba nyingi za Tanzania tumeona familia nyingi wanawake wengi ndio wanageuka baba wa familia.. Hii ni kimaanisha wanachukua majukumu ya wanaume zao ingawa kweli kuna...
Nywele ndefu ,macho makubwa ya kurembua ,matiti mwiba au mchongoko hips makalio makubwa yenye nyama teketeke mguu chupa ya bia
Wanaume wengi wamwonapo mrembo wa namna hii huchanganyikiwa kabisaa
Wanaume wengi tunakosea sana juu ya kuhakikisha wanawake(wake zetu) wanakuwa katika hali ya furaha na hivyo wake zetu hujikuta katika wakati mgumu sana unaowafanya kuwaza mawazo hasi...