Hizi ni salamu kwa baba J na wanangu, nampenda kwa jinsi anavyotujali na namtakia yeye na wakiristo wenzake Kwaresma njema. Mwenyewe anataka wanae wabatizwe siku ya pasaka, mie sina tatizo wanangu wakifata dini ya baba yao. Suala ni wao tu kukubaliana huko kanisani kwao na wakuu wao wa dini maana anasema bado wanamzungusha na maswali. Mie hata sina neno, namsubiria akisema wameshindwana nitawapeleka chuo wanangu.