Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY. 1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana) 2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo...
15 Reactions
251 Replies
24K Views
Ni Kijana Mrefu Kiasi, Mwenye umbo la kuvutia lililojengwa ni Gym Kidogo mwenye mapenzi ya Kweli 0762575887
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba ushauri, mimi ni kijana miaka 28 mke wangu umri huo pia, tumeanza kuishi pamoja 2012 baada ya kumpa Mimba. sasa mwenzangu ni jeuri kiasi na ana wivu sana na sim zangu. Shida kila...
0 Reactions
114 Replies
12K Views
jaman kuna mtu kanambia ananipenda sana nlimfkiria kwa mda mrefu nkagundua nami pia nampenda lkn nina waswas baadae hatanipenda tena anajitahidi kila siku kunijulia hali n kwa sasa kaacha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
uvaaji wa chupi au nguo yoyote inayo bana inasababisha haya kwa mtambo wa kutengenezea watoto (1) kupinda (2) kupungua ulefu ndo sababu hawapo wanao weka vipini (nzinga) kwasasa (3) kupungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, weka uzoefu wako ikiwezekana na picha! ULAYA Nilikutana na mreno mmoja alinivutia sana, sio mmoja tu ila kadhaa. Niliishia kutazama tu maana kuwatokea mmmh, kwanza lugha, pili class...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Michirizi mwilini, Ndevu, mrefu kuliko mimi, makalio flat pamoja na kifua flat. Mimi hapana aisee lazima nile kona. Kijana nini kitakufukuza na usigeuke nyuma mwanamke akiwa navyo?
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Siku zote mwanaume anahitaji kuwa na kazi nzuri,nyumba nzuri,magari ya kifahari,biashara nzuri pamoja pesa za kutosha kwenye akaunti za benki.Vitu hivi humfanya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kitu kinaitaji uwelewa na usanifu {art n knowledge} hata kujenga mahusiano yenye afya bora unaitajika kuwa na uwelewa na sanaa ya mausihano,, kuanzia kuuelewa mwili wako, nambinu za kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi ni kijana wa miaka 30 nafanya kazi katika kampuni ya paraguya foundation iliyopo dareslaam natafuta mchumba
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa dada yoyote atakuwa na sifa tajwa hapo chini na awe tayari kwa moyo wa dhati kuwa mpenzi, mchumba na badae kuwa mke, basi PM. SIFA ZAKE 1) Awe na umri wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nianze kwa Kusema Habari wapendwa Marafiki wana Jf, Binafsi nawapongeza wajumbe wa humu tunajifunza mengi kupitia nyinyi amini usiamini. Huku kuna Great thikers kwelikweli: Nataka tuongee...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu ndiyo kitunza siri kikubwa katika mapenzi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Who comes first ? Nilikuwa naangalia fox and friends Dr Albow aliuliza Hilo swali ilikuwa Ngumu kwa anchors kujibu.
0 Reactions
7 Replies
878 Views
1.Anajua mahitaji ya mwenzake. 2.Anajua namna ya kumfurahisha mwenzake. 3.Anayatawala mawazo yake mara zote ili kuilinda taasisi(ndoa). 4.Anajikubali alivyo(sio mnafiki) he/she is a genuine...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hili kuwa mwanamme shupavu mtoto wa kwanza uzae na mwanamke ambae hutamwoa. Nataka kujua jambo hili lina uhalali au ukweli gani? Lakini kwa mwanamke akishakuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kauli hii nimeisikia kwa watu kadhaa waume kwa wake.je ni sahihi kwa mtu aliyeathirika na magonjwa yasababishwayo na ngono(STD's) zaidi UKIMWI kutoa kauli kama hiyo? Unakuta mtu baada ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mapenzi yamekuwa mada kuu kila kukicha,mara flani kachinjwa,mara mwingine kanywa sumu,mwingine kajirusha kutoka ghorofani. Sasa jamani kwani lazima kuwa na mpenzi....Epuka hayo majanga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Zamani bana kulikuwa hamna simu wala nini, nilikuwaga naogopa kutongoza mno nikikutana na binti nimpendae roho itanidunda weee kama nataka kupigwa risasi hata kusema nashindwa naishia kupiga...
0 Reactions
114 Replies
8K Views
Back
Top Bottom