Mambo 5 ya kumfanya mwanamke akupende haya hapa...

Mambo 5 ya kumfanya mwanamke akupende haya hapa...

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
1: Mpe hela

2: Yani Mpe hela

3: We mpe hela

4:Nakwambia mpe hela.

5: We mpe hela tu utaona....!!!

Kama huamini acha kumpa hela uone matokeo yake, acha ubahili we mpe hela.
 
Correction. . . .
Ukitaka AKUGANDE/AWE NA WEWE na sio akupende. Mtahonga sana kaka zangu ila kama hupendwi hupendwi tu. Hela zako anahongwa anaependwa na huyo msichana unaemhonga wewe.
 
we mpe hela tu umsaidie mwanaume mwenzio kulea yani mpe hela tu na mwisho wa siku unapigwa chini vile vile
 
Not true. Clement pamoja na mahela yake yoooote na kumuhonga kwake kooote wema bado ameachwa kwenye mataa
 
1: Mpe hela

2: Yani Mpe hela

3: We mpe hela

4:Nakwambia mpe hela.

5: We mpe hela tu utaona....!!!

Kama huamini acha kumpa hela uone matokeo yake, acha ubahili we mpe hela.

labda kama unataka nikugande lakn sio kupenda,kama sikupend sikupendi tu...ukiacha na mimi nakuachia.
 
Hahhhahhaa ingekua hivyo raha kweli unapewa pesa tu,
Mapenzi sio mpaka upewe pesa japo yananogesha mahusiano
 
we mpe vihelaa vyako wee avitumbueee, ila kama hupendwi mwisho wa siku utaambulia patupuu
 
Nimajanga kwani kuna wengine wapo kimaslahi hata utoe hela kiasi gani upendo kwao ni sifuri.🙁😀
 
Back
Top Bottom