Wanawake inawahusu hata wanaume pia

Wanawake inawahusu hata wanaume pia

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,700
Reaction score
9,070
kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia wadada na wanawake wakipiga picha wanageuka sasa sijajua kwanini kwanini hampigi picha zenu kwa muonekano wa mbele nyuma kuna nini kwani?kwa wapenda picha Eiyer msaada tafadhali

2Q==
images
images
images
images
images
 
kwani ulitaka tuoneshe mbele?
wakati mbele kila wakati mnakuona

kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia wadada na wanawake wakipiga picha wanageuka sasa sijajua kwanini kwanini hampigi picha zenu kwa muonekano wa mbele nyuma kuna nini kwani?kwa wapenda picha Eiyer msaada tafadhali
 
baba paroko hata wewe tena jamani
kumbe unaonaga mbele unapowalisha sacrament eheee?

Huwa naangalia umaridadi wenu wa maumbile na uzuri wenu .....lol!!!!!!

Ila nyie bana daaahhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sikutegemea kama na wewe mume wangu
ungekuwa mmojawapo wa watu hawa hapa
yaani umeamua kuchukua picha yangu
kabatini na kuniweka hadharani hapa?
kweli haya ni majanga

CC: kukucd
 
Last edited by a moderator:
Eiyer another photo tafadhali ni-boost wkend.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom