Mwanamke anapogeuka 'baba' wa familia - Inakuwaje?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,927
22,083
Ndugu watanzania...

Katika nyumba nyingi za Tanzania tumeona familia nyingi wanawake wengi ndio wanageuka baba wa familia.. Hii ni kimaanisha wanachukua majukumu ya wanaume zao ingawa kweli kuna nyingine zinatokana na mwanaume kutokuwa na kazi lakini kuna familia nyingi wanaume wakiwa makazini wao hawana tym kabisa na familia zao na kuishia kuwaachia majukumu ya familia na watoto wake zao kisa tu kuona mke akifanya kazi...

Jamani imefika nafasi tuache ubinafsi hata kwa uapande wa wanawake tusaidiane katika familia..jukumu la familia ni jukumu la kila mmoja.. Natumaini kwa huku wale wanaume/wanwake vitegemezi wanakwenda kubadilika kwa kushare majukumu
 
Ndugu watanzania...katika nyumba nyingi za tanzania tumeona familia nyingi
wanawake wengi ndio wanageuka baba wa familia..hii ni kimaanisha wanachukua majukumu ya wanaume zao ingawa kweli kuna nyingine zinatokana na mwanaume kutokuwa na kazi lakini kuna familia nyingi wanaume wakiwa makazini wao hawana tym kabisa na familia zao na kuishia kuwaachia majukumu ya familia na watotot wake zao kisa tu kuona mke akifanya kazi...
jamani imefika nafasi tuache ubinafsi hata kwa uapande wa wanawake tusaidiane katika familia..jukumu la familia ni jukumu la kila mmoja..natumaini kwa huku wale wanaume/wanwake vitegemezi wanakwenda kubadilika kwa kushare majukumu

Mama Mia, hapa umenena bila kukosea. Ni familia nyingi sana wanaume wanakwepa majukumu yao (kulisha, somesha, matibabu ya watoto n.k).
Wanawake wengine wamefikia hatua ya kujiona wajane japo waume zao wapo hai, sababu kuu ni kutokupata support ya kutosha kuubeba msalaba wa kulea familia.

Jamani wanaume, kutimiza majukumu yenu ndani ya familia ni jambo muhimu sana kwa mstakabali wa familia. Mwanaume si kuvaa suruali tu bali ni kutimiza wajibu ukupasao!
 
Ndugu watanzania...katika nyumba nyingi za tanzania tumeona familia nyingi
wanawake wengi ndio wanageuka baba wa familia..hii ni kimaanisha wanachukua majukumu ya wanaume zao ingawa kweli kuna nyingine zinatokana na mwanaume kutokuwa na kazi lakini kuna familia nyingi wanaume wakiwa makazini wao hawana tym kabisa na familia zao na kuishia kuwaachia majukumu ya familia na watotot wake zao kisa tu kuona mke akifanya kazi...
jamani imefika nafasi tuache ubinafsi hata kwa uapande wa wanawake tusaidiane katika familia..jukumu la familia ni jukumu la kila mmoja..natumaini kwa huku wale wanaume/wanwake vitegemezi wanakwenda kubadilika kwa kushare majukumu

Hujaongelea pale mshahara wa baba unapokuwa wa familia na mshahara wa mama unapokuwa wa kwake na ni siri yake.
 
Haki sawa! zamani baba alikuwa baba na baba hakukwepa kuwa baba, lakini mwanamke amepiga kelele sana akitaka kuwa kama baba, baba amemwacha mama awe baba imekuwa matatizo kwa baba!!!!! mwe....! kaaazz kwl kwl!!
 
Mmedai haki zenu kwa muda mrefu, mmekwenda mpaka Beijing China sasa Mungu amewasikia kilio chenu mnaanza kupiga kelele tena. Wanawake bhana...
 
Mkuu hawaeleweki kama wanataka mvua au jua...
 
Usawa wa mwanamke na mme utakuwa wa kulazimisha tu ila mwanamme ni mwanamme tu hata vitabu takatifu vimeandika
 
Mmedai haki zenu kwa muda mrefu, mmekwenda mpaka Beijing China sasa Mungu amewasikia kilio chenu mnaanza kupiga kelele tena. Wanawake bhana...

kudai haki haimaanishi
wanaume muanze kukwepa majukumu yenu ndani ya familia
Mwanaume anaejitambua hakwepi majukumu yake bali huyatimiza
 
kudai haki haimaanishi
wanaume muanze kukwepa majukumu yenu ndani ya familia
Mwanaume anaejitambua hakwepi majukumu yake bali huyatimiza
Haki za usawa zipi mnazodai kwani? Si ndiyo hizo hizo zote kwa ujumla wake. Hahahaaaaaa.... WANAUME MNAOZUNGUMZIWA HUMU ENDELEENI KUWAPA WANAWAKE HAKI ZAO.
 
Sio mbaya ukatuwekea badhi yake mkuu.

1. Baba atabaki kuwa baba
2. Mama atabaki kuwa mama na hili halimpi sababu ya kuanza kufikiria namba 1 hapo juu
3. Baba na mama watabaki kuwa washauri wa kila mmoja wao ila hili haliingilii mipaka wala taratibu za namba 1 hapo juu
4. Namba moja itaingilia yote hapo juu bila kusababisha kero wala dhuluma kwa namba 2 tajwa hapo juu
5. Ulinzi na usalama wa 2 tajwa hapo juu ni jukumu la 1 tajwa hapo juu na yote yatokanayo ikijumuisha na zao la 1 na 2 kwa majaaliwa ya Muumba

Niendelee mkuu!!!!!?????
 
Back
Top Bottom