kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Walikuwa masingle girls na wanawake walio olewa.
Jirani yangu alikuwa akiwarushia pesa, anawanunulia gari na nyumba.
Aliwachanganya kweli kweli.
Walimfanya ATM na mbaya zaidi waliakikisha wanamkamua maziwa mpaka sasa hivi jirani yangu ana mbele wala nyuma. Wamemfilisi kabisa, wamemkimbia. wameamuwa kustick na maboy friend zao na waume zao.
Nilipochoka ni kwa nini wanawake kwenye swala la pesa hawaoni hatari iliyopo.
Sasa jamaa hana pesa, amna mwenye muda naye. Mbaya zaidi kuna haja gani ya kuowa wakati mke akiliona fuba la pesa anakuona toyoyo!
Wajameni!