Tumekuwa atuongi kwa sababu tumesikia maneno mengi kutoka kwa wasichana/wanawake wanatucheka sisi na kutuita majina mbali mbali ambayo siyo ya kushukuru sababu rahisi tu, tunawajali na kuwafikiria...
Just imaginations tu..sote tunajua kuhusu ndege iliyopotea. Hivi ingekuaje umemwongopea mkeo unasafari kakusindikiza vizuri tu mpaka airport!baada ya mkeo kuondoka unageza kumbe ukua na nia ya...
Nimeamka majira ya saa kumi usiku nikatoka nje.
Wakati nafungua mlango,nimekutana na paka mweusi mwenye madoa kama ya chui.
Sio mara yakwanza nakutana na huyu paka,mara yakwanza nimekutana nae...
I have a friend ambae nashindwa nimuweke kwenye kundi gani kwanza she is a lesbian but anapenda watch gay porns...ninachoshindwa elewa zaidi bado yupo kwenye relationship with a man.Kwenye...
https://www.google.co.tz/search?q=other+side+of+love+lyrics&oq=otherside+of+luv&aqs=chrome.1.69i57j0l5.15219j0j7&sourceid=chrome&espv=210&es_sm=93&ie=UTF-8#q=other+side+of+love+
Habari za jioni...
Hili swala la nasaha siku ya harusi ni wizi mtupu inawezekanaje umeishi miaka yote ameshindwa kukusikiliza leo hii ukumbini tena masaa machache tu ndo ayashike mafundisho yako?wizi mtupu kama si...
Napenda kumshukuru mungu kwa kutupa tena siku ya leo na kukupa wewe macho ya mwilini kusoma haya niandikayo kama mungu alivyoniongoza
pengine unahusika kwa namna mmoja ama nyingine wala usiwaze...
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je...
Wakuu nilikua nimekaa nikawaza tu aisee, ingawa jambo nililoliwaza halitaweza kutokea kamwe, What if Siku Avatar zetu zikigoma kuonekakana na kuanza kuonyesha sura halisi ya mhusika!! basi...
Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya...
Jamani kuna ndoto inamsumbua sana shemeji/wifi yenu mara ya kwanza wakati ananipigia simu asubuhi na kuniambia kaniota niko na mdada nilichukulia masiraha tukaishia tu kucheka huku nikimtania...
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu...
Habari jf members,natumaini muwazima wa afya...i just want to write down my thoughts,ni mawazo ambayo yamenijia akilini this morning.
Furaha ni kitu kikubwa sana,ukiwa na furaha unapata...
wanaJF ni swali kwamba kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia simu na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje...
Yaani kuna watu ukiongea nao mate yanawatoka sana kila anavyozidi kuongeza speed ya maongezi! Ivi hawajijui? Dah inakera sana halafu kila ukijaribu kuongea nae kwa umbali atakusogelea tu! Aaaagrh...
Habari za weekend watanganyika wenzangu?leo nilikua kwenye daladala,katika seat niliyokua nimekaa,mbele yangu walikua wamekaa wasichana wawili warembo,wakiwa wanapiga story zao nikamsikia mmoja...
Habari zenu jamani!
Wale wagonjwa nawapa pole sana, na wale wanaoumwa na hutuba ya Jinias Warioba nawapa pole sana, Yule Mzee anaakili mingi! Daima wasiopenda maendeleo watamchukia! Na kwa...