Mkuu utagombana na wenyewe bure, Kwan chadema wanamwaga mvua ya mate?
kuwa na mi..ji..tu kama ww tz ni hasara..
Hasa wana chadema
Yaani kuna watu ukiongea nao mate yanawatoka sana kila anavyozidi kuongeza speed ya maongezi! Ivi hawajijui? Dah inakera sana halafu kila ukijaribu kuongea nae kwa umbali atakusogelea tu! Aaaagrh badilikeni bana.
mostly ni wanaume.... sijawahi ona mwanamke akirusha particles za mate wakati akiongea..
hasa wana chadema
mostly ni wanaume.... Sijawahi ona mwanamke akirusha particles za mate wakati akiongea..