Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Just imaginations tu..sote tunajua kuhusu ndege iliyopotea. Hivi ingekuaje umemwongopea mkeo unasafari kakusindikiza vizuri tu mpaka airport!baada ya mkeo kuondoka unageza kumbe ukua na nia ya kusafiri wala nini unageuza mayb unaenda zako nyumba ndogo iliyoko hapohapo town..sasa kimbembe kinakuja kama hivi ndege imepotea siku ya nne wife nyumbani anajua hiyo ndo ndege ulopanda kwahiyo kaamua kuweka msiba,ndugu wote washa fahamishwa kuhusu kifo chako..mfano sasa ingekua wewe ndo kishanuka kama hivi ungesolve vipi huu msala...?