Nifanyaje yamenikuta!

Nifanyaje yamenikuta!

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu niliwahi kua nae mmoja mwaka wakwanza alinitenda vibaya, nikaapa kua nademu chuoni!

Sasa hawa mabinti mmoja alikua nyumbani namwingine maeneo yachuo(alikua anafanya kazi stationary) niliwapenda kawaida sana naupendo sawa!mwaka wapili mwishoni wakati narudi nyumbani kumbe yule binti wachuoni alikua namimba.

Nilipofika nyumbani kama kama kawa nikawa nayule wahome.Baada yamuda kidogo demu wachuoni akaniambia anamimba sikukataa sabu kweli nilimtumia sana.

Likizo ikaisha ile narudi chuo wanyumbani nae anapiga simu anamimba sikukataa pia,nikawa kwenye mtihani mkubwa huku nahuku!kama mwezi watatu hivi yule wachuo alijifungua bahati mbaya mtoto alifariki,ila kupitia hili kwao wote wananijua sikukaa sana nayule wahome mwezi unaofata akajifungua mototo wakiume ila yeye mzima hadi sasa!nimekaa nao hadi sasa ila hakuna anayejua kuhusu mwenzie zaidi yangu.

Nawako mbali,chazaidi wote niwife material nawazuri nimejaribu kumwacha wachuoni nimeshindwa nanafsi yangu inanisuta sana sabu nimewahi mtuma mtu amtongoze nipate sababu yakumwacha imeshindika napia huyu home hawamjui.

Ila huyu home anajulika home nakashakaa mkao wakuolewa napenyewe ajira zinatoka kesho!,ila nikiri wote walinizalia chapa yangu,sababu alienizalia kidume nicopy Yangu kabisa na hata alie nizalia mtoto akafa nilimuona alikua niwaukoo wangu kabisaaa!sasa hapa nipo kwenye mtihani nanizaidi anafaa kuishi namimi?nikijaribu kufikiria kumuacha mmoja moyo wangu unauma sana naukizingatia mm mkristu mke mmoja!,NIFANYAJE YAMENIKUTA NAOMBA MSAADA WENU WANAMMU..
 
"Yelo yelo Tanzaniaaa, tuimbe..
Yelo yelo mapenzi ya dhaaatiii, tuimbe..
2014 kuwa mzalendo sambaza upendo."
 
Duuuu mazeee msaada!nitakimbia mm
 
Wewe ni kijana ucyejitmbua? Hapana Unajitambua! umetumia wadhifa wako kuwaraghai wasichana wa 0 level" nahc wa chuo umebahatisha" ushaur wangu acha umalaya'
 
AJIRA HUNA UNAWAZA KUOA? SERIOSLY????????? Harak ya nini? Chill out, you will figure THINGS OUT LATER! And if you are LUCKY things may figure themselves out! Ukijichelewesha watakuwahi MMOJA so utabakia na MASALIA.
 
acheni masihara jamani mtu kaomba ushauri basibasi tu mshauri awe maamuzi ya busara acheni utani basi
 
laiti ungekuja kuomba ushauri hapa wakati mnaanza mahusiano wala.yasingekukuta yote hayo..shida tatizo.linatokea ndo unakimbilia humu..anyway..ushauri utakaopewa sidhani kama utakusaidia sana kwani mwenye maamuzi ni wewe..subiri upokee uchanganye na.mawazo yako then may be utapata kitu
Nakushauri uwe.muwazi kwani kimya chako kwao kinazidi kuwapotezea muda..hao wapenz wako hawawezi.kulingana tabia kamwe..kila mtu ana mapungufu yake na mazuri yake..angalia.mazuri mengi yanapatikana kwa nani then mfanye awe mke..huyo mwingine mweke wazi umwambie kuliko kumpa.matumaini yatakayomfanya anywe sumu baadae..
 
Habari za majukumu mr gedo
kwanza ningependa kukuambia jambo moja kwa dunia ya sasa inakupasa kuwa na maamuzi yako binafsi na maana hii. umekuwa ktk mahusiano na wasichana wawili pasipo wao kujijua inamaana tayari tabia zao unazifahamu vyema hivyo kumbuka huwezi ukawa nao wote I mean kuoa wote sasa nacho kushauri ni vema ukawa na aliye na mtoto tayari kwani mtoto anategemea malezi ya pande zote mbili baba n mama hivyo utakapoajiriwa ni vema ukawa karibu na aliye na mtoto ili mwanao asije ishi maisha ya taabu kisa wazazi hawakuwa na msimamo leo anateseka mtoto asie na kosa lolote lile nadhani umenisoma
huyu mwingine utakapo ajiriwa poteza mawasiliano naye kwa muda ili upate nafasi kumlea mwanao
 
Kusemasema tulishasema tumechoka muongo na murozi ni watu wa kuchoma.
 
Asante sana mkuu!mungu akubariki sana ngoja Nipige moyokonde nifanye hivyo!kweli jf great thinker lazima apatikane.
 
Kufanya kosa inaweza kua sehemu ya kujifunza ili usipoteze mchezo kwa mara ya pili na kuchuma dhambi zaidi, ushauri wangu ni huu, jaribu kurudi nyuma na kujiuliza ilikuaje huyo wa chuoni akakutenda (ukiumwa na nyoka, hata ukiguswa na jani unas........., lakini love inafomula tofauti kwa kila mtu) ukipata jibu then linganisha na yoote alionayo aliekuzalia mtoto kisha peleka fikra zako mbele kwakuzingatia nafasi uliyonayo na aina ya maisha unayohitaji kisha + na upendo ulionao juu yao THEN FANYA MAAMUZI.

NB: it may take you even 6 months to have the right answer.
 
umri wangu hauniruhusu kushauri hili. Ngoja niwasomeni wajukuu zangu.
 
umri wangu hauniruhusu kushauri hili. Ngoja niwasomeni wajukuu zangu.

Aaaah shauri bhana!neno lako laweza beba sauti yamaamuzi mazuri sabu Haya yalikuwepo toka zamani mlikua mnafanyaje?
 
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu niliwahi kua nae mmoja mwaka wakwanza alinitenda vibaya nikaapa kua nademu chuoni!sasa hawa mabinti mmoja alikua nyumbani namwingine maeneo yachuo(alikua anafanya kazi stationary) niliwapenda kawaida sana naupendo sawa!mwaka wapili mwishoni wkt narudi nyumbani kumbe yule binti wachuoni alikua namimba,nilipofika nyumbani kama kama kawa nikawa nayule wahome.baada yamuda kidogo demu wachuoni akaniambia anamimba sikukataa sabu kweli nilimtumia sana,likizo ikaisha ile narudi chuo wanyumbani nae anapiga simu anamimba sikukataa pia,nikawa kwenye mtihani mkubwa huku nahuku!kama mwezi watatu hivi yule wachuo alijifungua bahati mbaya mtoto alifariki,ila kupitia hili kwao wote wananijua sikukaa sana nayule wahome mwezi unaofata akajifungua motto wakiume ila yeye mzima hadi sasa!nimekaa nao hadi sasa ila hakuna anayejua kuhusu mwenzie zaidi yangu nawako mbali,chazaidi wote niwife material nawazuri nimejaribu kumwacha wachuoni nimeshindwa nanafsi yangu inanisuta sana sabu nimewahi mtuma mtu amtongoze nipate sababu yakumwacha imeshindika napia huyu home hawamjui.ila huyu home anajulika home nakashakaa mkao wakuolewa napenyewe ajira zinatoka kesho!,ila nikiri wote walinizalia chapa yangu,sabu Hutu alienizalia kidume nicopy Yangu kabisa nahata alie nizalia mtoto akafa nilimuona alikua niwaukoo wangu kabisaaa!sasa hapa nipo kwenye mtihani nanizaidi anafaa kuishi namm?nikijaribu kufikiria kumuacha mmoja moyo wangu unauma sana naukizingatia mm mkristu mke mmoja!,NIFANYAJE YAMENIKUTA NAOMBA MSAADA WENU WANAMMU..

Tehe tehe teheee! wewe gedo hakika yule demu wa chuo hakukosea kukutenda. Ulistahili maana hamna utulivu kabisa. Mapenzi gani hayo, oa wote sasa kwani tatizo liko wapi.

CC: TANMO, BADILI TABIA, lara 1, ameline
 
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu niliwahi kua nae mmoja mwaka wakwanza alinitenda vibaya nikaapa kua nademu chuoni!sasa hawa mabinti mmoja alikua nyumbani namwingine maeneo yachuo(alikua anafanya kazi stationary) niliwapenda kawaida sana naupendo sawa!mwaka wapili mwishoni wkt narudi nyumbani kumbe yule binti wachuoni alikua namimba,nilipofika nyumbani kama kama kawa nikawa nayule wahome.baada yamuda kidogo demu wachuoni akaniambia anamimba sikukataa sabu kweli nilimtumia sana,likizo ikaisha ile narudi chuo wanyumbani nae anapiga simu anamimba sikukataa pia,nikawa kwenye mtihani mkubwa huku nahuku!kama mwezi watatu hivi yule wachuo alijifungua bahati mbaya mtoto alifariki,ila kupitia hili kwao wote wananijua sikukaa sana nayule wahome mwezi unaofata akajifungua motto wakiume ila yeye mzima hadi sasa!nimekaa nao hadi sasa ila hakuna anayejua kuhusu mwenzie zaidi yangu nawako mbali,chazaidi wote niwife material nawazuri nimejaribu kumwacha wachuoni nimeshindwa nanafsi yangu inanisuta sana sabu nimewahi mtuma mtu amtongoze nipate sababu yakumwacha imeshindika napia huyu home hawamjui.ila huyu home anajulika home nakashakaa mkao wakuolewa napenyewe ajira zinatoka kesho!,ila nikiri wote walinizalia chapa yangu,sabu Hutu alienizalia kidume nicopy Yangu kabisa nahata alie nizalia mtoto akafa nilimuona alikua niwaukoo wangu kabisaaa!sasa hapa nipo kwenye mtihani nanizaidi anafaa kuishi namm?nikijaribu kufikiria kumuacha mmoja moyo wangu unauma sana naukizingatia mm mkristu mke mmoja!,NIFANYAJE YAMENIKUTA NAOMBA MSAADA WENU WANAMMU..

dah hivi unge substitute uo mda wa kuhangaika na wasichana upige kitabu....
mmmh uje kutulalamikia mjini kazi hamna wakati unajijua hata connection huna maskini ya mungu:thinking:
#tunaangamia kwakukosa maarifa
 
Kwani wakati unawadungua na kufurahia penzi si ulikuwa peke yako jamani?
oa mmoja,mwingine awe nyumba ndogo
 
Back
Top Bottom