Mfundishe Excel wako
Mfundishe Excel wako
miss neddy hujawahi kuona kocha mchezaji?muasis anakuwaje mwanafunzi tena
Nini kinaoendelea hapa? eenh?
mbona mwamsema mfalme mchana kweupe!?
miss neddy, whats this my wife?....
miss neddy hujawahi kuona kocha mchezaji?
Excel najua alipo, yaani ameacha wewe huku yeye anakula bata....
Shem ngoja aje umulize, akikujibu uongo nakupa live alikua wapi