yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya nisiamini ni pale napomwambia amjibu ile meseji na anakataa. Kwa ufupi tuko mbali (mikoa tofauti) na siku kadhaa zimepita tangu tumekaushiana hatuwasiliani wala haombi msamaha.
Kwa sasa naona nichukue hatua ya mkatia mawasiliano na kumfuta kabisa maishani mwangu japo inaniumiza sana.