Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Naomba msamaha mbele za Mungu kwa dhambi niliyofanya, natamani nipigwe mawe mpaka nife, ila kwakua watu wanaotakiwa kunipiga mawe pengine sio wasafi, naomba mnichagulie adhabu tofauti mtayoona inafaa......zinaa sio kitu kizurimbele za Mungu, najutia kufanya ivyo....
Kuonyesha kua najutia kitendo nilichofanya, naomba nipigwe BAN ya siku tatu, kama MODS hamtafanya ivyo, mtakuwa mnashabikia zinaa..
Invisible
Kuonyesha kua najutia kitendo nilichofanya, naomba nipigwe BAN ya siku tatu, kama MODS hamtafanya ivyo, mtakuwa mnashabikia zinaa..
Invisible
Last edited by a moderator: