Mbinu mpya ya uchunaji kwa dada zetu

Mbinu mpya ya uchunaji kwa dada zetu

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Wanawake wengi hapa mjini ukichati nae anakueleza mara yuko mwanza ,mara lindi mara tabora na kukuomba umtumie nauli aje dar.
wote hao wako hapa hapa dar lengo ni kukamua hiyo elfu 40 utakayomtumia na hiyo utakayompa.

Nimekutana na ishu hizi zaidi ya mara tatu. demu kuchukua vinguo viwili kuviweka kwenye begi anakuja na kutokamabibo anajidai katoka mbeya. mmoja kwa kubugu kachukua tax inatoka buguruni naion anajidai katoka ubungo. hii kweli ni hatari.

wadada mkitaka pesa semeni msitumie ujanja.
 
Kwanini mnaamini wanawake au wanaume wa kwenye mitandao ?kwanini mnazinguliwa na picha ?mtu hamfahamiani unaanza kujigonga na kujifanya unafanya kazi ya maana au dili kubwa kubwa lazima uchunwe tuuu
 
unajua umeniudhi kuwatetea hawa majambazi,wamezidi sana utapeli kisa papuchi.ok take easy!ni mambo tu mkuu.

Yeah lakini hekima ya mtu huonekana pale anapoudhiwa !nashauri tuchangie kwa hekima na heshima bila kutukanana kwakuwa huku si jukwaa la siasa. Binafsi sijaona kosa la Excel yale ni mawazo yake na kachangia !!
Zaidi swala la kuchunwa huwa wa kulaumiwa ni sisi wenyewe wanaume !mimi mtu hawezi kuniambia nimtumie nauli na bila kujihoji mara mbili nitume sana saaana nikiwa na maslahi na mahusiano yetu nitatuma tiketi tena baada ya kujiridhisha kuwa huyo si muuza nyama
 
hivi kuna ndume alishawahi shikiwa bakora, kisu au pistol na mdada ili atoe hela??? si huwa mnazitoa wenyewe tena kwa moyo mkunjufu?
 
Anaona hana njia nyingine ya kukuchuna ko hiyo ndo rahisi mana kaona unapenda uletewe pupu**i hadi kwako.!!
 
mkuu, unajua hapa tunaongea kila mtu na mawazo yake.. sasa anapokuja mtu na kuanza kumtukana mwenzie, inaonesha wazi kuwa hana mawazo jenzi..

people fail to agree to disagree with others..
jembe afrika, toka jana.. kanitusi, nikamchunia..




unaona hapo kaka?.. nilikausha tu..

leo kaniamkia tena....


halafu wewe una mamlaka gani kuwaita wenzio majambazi? wananchi wanatuhumu, polisi ndio wanathibitisha kuwa fulani ni jambazi, then mahakama inatoa hukumu..!

sasa wewe unatukana watu na kuwahukumu hivi, umekuwa pilato?


kama huwezi kuongea ukasikika bila kumtaja mtu mwingine kwa kashfa, bora utulie tu.. nalo jibu pia!

Let your wisdom prevail ...!
 
Last edited by a moderator:
Huyo aliyekutenda kiboko, manake kakuvurugaaa, inaelekea alikuchuna hadi ngozi. Manake hutupendiiiii!

sio siwapendi nyie si mnadai haki sawa jamani?sasa haki sawa kwenye mambo mengine ila kwenye wallet hapana.
 
Ushuziiiiiii mkubwaaaaa!!!
Haujatumwa kwenda kutongoza majambazi, umetaka mwenyewe.Mxiuuuuuuuuuuu!!
Buyu weweeeeeeee, kama unataka fuga rasta umendee wamama wa kizungu.
Tumechoka na hii mada.
 
Wanawake wengi hapa mjini ukichati nae anakueleza mara yuko mwanza ,mara lindi mara tabora na kukuomba umtumie nauli aje dar.
wote hao wako hapa hapa dar lengo ni kukamua hiyo elfu 40 utakayomtumia na hiyo utakayompa.

Nimekutana na ishu hizi zaidi ya mara tatu. demu kuchukua vinguo viwili kuviweka kwenye begi anakuja na kutokamabibo anajidai katoka mbeya. mmoja kwa kubugu kachukua tax inatoka buguruni naion anajidai katoka ubungo. hii kweli ni hatari.

wadada mkitaka pesa semeni msitumie ujanja.

Kama govi(akili mgando) lipo, wacha lichunwe. Nami nasema wakuche kabisa, manake sasa hutaki kujitambua.
 
kama unaona unachunwa, panda gari wewe umfuate huko huko..

halafu ndo uone ukweli uko wapi..!

btw, wewe nae unapotaka papuchi si umemchuna pia?? au sisi wanaume tunachuna nini kutoka kwa wanawake???

Safi sana,pokea like 1000 mkuu Excel
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom