mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,375
- 2,267
Habari wana JF, Nimekubali kwamba ukitaka kuacha uzinzi kapime hivi. Siku nimeenda kupima hiv nilikumbuka mapito yangu yote tangu utotoni, nilihisi nimepungua uzito wakati nasubiri majibu,nilishikwa na tumbo la kuharisha pale nilipoitwa kuchukua majibu.
Nilimshuru Mungu mambo yalikuwa fresh, tangu siku ile nikitaka kuzini nareflect mateso ya siku ile.
Nanaimani wale waliojitoa mhanga kupima wataniunga mkono.
Angalizo: ukitaka kwenda kupima jiandae aisee km huja jiandaa unaweza kula kona mda wa kuchukua majibu.