LIVE:KUTOKA MAKANISANI LEO JUMAPILI Tar.23/03/2014

LIVE:KUTOKA MAKANISANI LEO JUMAPILI Tar.23/03/2014

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,045
Reaction score
13,483
Watu wengi kanisa limegeuka kituo cha polisi!

So kupitia uzi huu,naomba mtupiamo kile alichofundisha padre/katekista/mchungaji n.k.

Usipost ukiwa ndani ya kanisa!
Naamini katika yule atupaye nguvu,Tutafanikisha hili.
Haya karibuni
Amina.
 
Na wa ijumaa au siku ingine tuweke mistari hapa nimeona umesema J2 tu




Sent from Nokla using Jf app
 
Mmpost na nguo mlizovaa ili tuone fashion
 
Sijui mie ndo bado nimelewa!? mara kanisa, mara kituo cha polisi, kutiana nguvu.. sijaelewa ati!?
 
Sijui mie ndo bado nimelewa!? mara kanisa, mara kituo cha polisi, kutiana nguvu.. sijaelewa ati!?

I mean watu hawaendi kanisani ,wanapaogopa kama kituo cha polisi.

kutiana nguvu ni kupewa uwezo na Mungu kufanya jambo
 
mtumikie Mungu siku za ujana wako

kabla hazijaja siku zilizo mbaya
 
Tumeaswa tupendane, kama tunavyojipenda wenyewe....
Tuguswe na shida na matatizo ya wenzetu....
 
Hujatoka tu!!.

Nimeshatoka... sema huyu Mgiriki....

Somo kubwa la leo lilitoka Zaburi 113:5-9
5 Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu;
6 Anyenyekeaye kutazama mbinguni na duniani?
7 Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kupandisha masikini kutoka jaani.
8 Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
9 Huweka nyumbani mwanamke aliyetasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha.

Natumaini umebarikiwa mkuu.
 
Kuna jamaa katowa ushuhud namna alivyo paishwa na kuonana na mungu live anasema mbingu ya saba wakaketi pamoja nae na yesu akawa jirani yake
 
Back
Top Bottom