nina kama 25 years of age nilianza uhusiano na girl mmoja hivi mwaka 2011 me nikiwa first year yeye alikuwa anasoma certificate ya law mzumbe.ni mzuri kisura kiumbo ila tabia zake mwanzn hazikuwa mzur ila nilimbadisha sana akaanza kubadilika nilimfundisha mengi nilimpenda na nilimjali sana yeye pia ivy ivyo
nilijitaidi nisimpe mimba kipindi bado tunasoma sikupenda kumbebesha mzigo.mwaka jana mm nilifanikiwa kumaliza chuo bachelor ya education yy akiwa diploma bado nilimtembelea chuon kwao tukakutana kwabahati mbaya nikampa ujauzito aliumia sana hakuwa tayar kuibeba alitaka atoe nikamzuia
Sipend kuua kiumbe kisichonahatia nilitumia mda mwingi kumpa moyo nakumshawish asitoe japokuwa mshua wake ni mkali sana na akijua inaweza ikiwa mwisho wake kusoma
mm nimepangiwa musoma vijijini yeye anamaliza mwezi wa saba kasema siwezi kwenda kwetu na mimba nitakuja huko huko musoma tuilee wote mimba hadi nijifungue na mtt akue kue na kusoma atakaa mwaka mmoja kwanza alee mtoto sasa ivi mimba ina miezi minne
naombeni mnishauri je nikubali aje musoma? na vp kuhusu kwao watasemaje? na vp akipata matatizo si msala kwangu ila kwao napajua dada ake na mama ake wananijua ila mama ake hawaishi pamoja na baba ake . pia girl wangu kafanya siri hakuna anaye jua na anasisiza awezi kurudi kwao Dar