julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
kuna mpangaji mmoja asubuhi kibiti cha mama mwenye nyumba wake kilionekana machoni kwa mama yake kikitokea geto kwa jamaa sasa mama mwenye nyumba akasikika akisema"jamani huyu mtoto masikin " kauli hiyo imemuogopesha jamaa kurudi kwani kama mzee mwenye nyumba kaambiwa basi kitawaka kwakuwa ni mlevi na mgomvi! kila siku mzee husikika akisema nimkute mtu anatembea na mwanangu bora niozee Segerea lakini lazima nimmalize, na mchizi hilo analijua! plz kama huna ushauri leave it!!!!!!!
mchizi anaomba masela mmshauri arudi geto liwalo na liwe au achane na kila kilicho geto aanze maisha mapya
mchizi anaomba masela mmshauri arudi geto liwalo na liwe au achane na kila kilicho geto aanze maisha mapya