Kama una kipato cha kueleweka ni miaka 21 na kwa msichana ni 18, kwa sababu utafiti unaonyesha watoto wanauzaliwa na umri kubwa wanakuwa hawana akili au kuwa matahira chukua hatua.
Una umri gani. Ogopa usije ukaitwa babu na mtoto wa kumzaa mwenyewe.
kwa Tanzania,
hakuna umri sahihi kwa sababu mkulu karuhusu wapewe mimba kwa sababu ni uherehere wao..
Wadau wa MMU, naomba mnisaidie hili, Kwa kijana wa kiume ni umri gani sahihi wa kuwa na mtoto? Na vipi kwa mabinti?
kwa Tanzania,
hakuna umri sahihi kwa sababu mkulu karuhusu wapewe mimba kwa sababu ni uherehere wao..
miaka 30, alafu bado nakua nakua na uoga wa kua na mtoto, hii imekaaje?
kwa Tanzania,
hakuna umri sahihi kwa sababu mkulu karuhusu wapewe mimba kwa sababu ni uherehere wao..
siku hizi hata vitoto vya darasa la 5 viko fresh ktk kupanda, je ndo umri sahihi?