Jamani naomba elimu hapa

Jamani naomba elimu hapa

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Jamani naombeni kwa wale wadau wa muda na wenye ujuzi na mapenzi na mahusiano.

Mwanamke mwema unamjua kwa kutumia vigezo vp?

Halafu sijawa na utalam wa kutupia uzi yaani uzi wangu baada ya muda mfupi haupo hewani nifanye je,kwa wajuzi mi bado mgeni sana humu nijuzeni na hili.
 
There is no crystal ball for that.

The only thing that comes remotely close is character.

But even that is too arbitrary and subjective.

You can seem to have unimpeachable rectitude now but next minute, lo and behold, you are the biggest jerk in the world.

You may comport yourself with great dignity today but it could just be a front that you are putting on.

Sorry to burst your bubble, but such is life and its vagaries.
 
Mke mwema ni bahati, ukichagua sana utaambulia korona.
 
Ngoja nikutonye kidogo,mume ukiwa mwema kwa mke na mke anakua mwema kwako,na kama mume si mwema kwa mke na mke anakua si mwema kwako.Habari ya mjini kwa sasa ni kwamba,kama mume unachepuka na mke anaamua kuchepuka ili ngoma iwe droo. Ni ushauri tu..,chukua au acha.
 
Nimekuelewa sana na nnaheshim ushauri wako
 
Ngoja nikutonye kidogo,mume ukiwa mwema kwa mke na mke anakua mwema kwako,na kama mume si mwema kwa mke na mke anakua si mwema kwako.Habari ya mjini kwa sasa ni kwamba,kama mume unachepuka na mke anaamua kuchepuka ili ngoma iwe droo. Sasa kama una mke au mpenzi tulizana na yeye atafanya hivyo.Ni ushauri tu..,chukua au acha.
 
Jamani naombeni kwa wale wadau wa muda na wenye ujuzi na mapenzi na mahusiano.Mwanamke mwema unamjua kwa kutumia vigezo vp?.Halaf sijawa na utalam wa kutupia uzi yaani uzi wangu baada ya muda mfupi haupo hewan nifanye je,kwa wajuzi mi bado mgeni sana humu nijuzen na hili

Inatakiwa ugegede mabinti 360 kama mimi ili upate uzoefu wa kujijibu swali lako.I
 
There is no crystal ball for that.

The only thing that comes remotely close is character.

But even that is too arbitrary and subjective.

You can seem to have unimpeachable rectitude now but next minute, lo and behold, you are the biggest jerk in the world.

You may comport yourself with great dignity today but it could just be a front that you are putting on.

Sorry to burst your bubble, but such is life and its vagaries.

The last ball is for the best player,also the best advice is from the best advicer.Good my friend
 
There is no crystal ball for that.

The only thing that comes remotely close is character.

But even that is too arbitrary and subjective.

You can seem to have unimpeachable rectitude now but next minute, lo and behold, you are the biggest jerk in the world.

You may comport yourself with great dignity today but it could just be a front that you are putting on.

Sorry to burst your bubble, but such is life and its vagaries.
Kingereza wengine hatuelew bana kam aje..tuandikie na kiswahili chini
 
Ndugu kwani unatafuta mke mwema au mama Theresa?
Huenda uo busy sana unatafuta kasoro...badili mtizamo wako kwanza
 
Mithali 31 yote. Kama we ni mkristo kimeandikwa na Sulemani na kama we ni mwislamu kimeandikwa na Selemani. Kama una dini ya asili kimeandikwa na mfalme wa zamani wa uyahudi anayesemakana kuwa na hekima sana.
 
Back
Top Bottom