Mwanaume/Mwanamke kuingiza mchepuko kwenye chumba anachotumia na mume/mke wake inawezekanaje? Mbaya zaidi kwenye kitanda kilekile unachofanyia majambozi na mwenzi wako wa ndoa.
Ni moyo gani...
Najua na ninafahamu wapo watakaokataa,
Wapo watakaoponda na kubeza hoja hii kwa kuwa huionea aibu ingawa ina ukweli na pengine wao ni wafuasi wazuri pia.
Ni ukweli usiopingika kuwa wenye...
Mambo ya kuzingatia wakati wa kutaka kula chakula: Kwanza, kiweke karibu nawe, pili, nawa viganja vyako kwa utaratibu, tatu, sema Bismillah, nne, anza kutonga matonge madogomadogo, tano, tafuna na...
yani demu ananishangaza anapenda kuchezewa sehemu nyeti hata tuwe njiani anadai tuzame chocho nimcheze lakini kugegedwa ananizungushaga mbaya mbovu sijamwelewa
sio hadithi ya kuambiwa its true story ya maisha yangu na muda c mrefu nitaiandikia kitabu, Sijui nilimkosea wapi wapi Mke wangu, nilimpa kila kitu kuanzia dudu safi kabisa, tena alikuwa form four...
Za siku wanajamvi,
leo nakuja na kisa cha Dingi yangu, ni mkali sana, enzi tunakua ukimuona kwa mbali tu unatafuta pa kutokea, unafurahia zaidi kutokuonana naye kwa kuwa ukionana naye tu lazima...
Hivi ikatoke umempa mimba demu wa mshikaji mwingine ambae hamjuani hata kwa sura.... ukiangalia kiundani mnapendana kufa na kupona. what will you do to make situation as honest as possible maana...
Harakati za mitongozo kuna wakati zinakuwa ngumu kutoka na jinsi unavyo muingia binti.
Pamoja na hayo yote lakini kunanyakati zilizo rahisi sana za kumpata binti.
Inapotokea binti akawa na...
Vitabu vya mungu vinathibitisha kuwa binadamu wote ni ndugu na tumetokana na kizazi cha Adam na Eva/Hawa.
Sasa ni kwanini sheria ya ndoa kifungu cha 14 kinakataza mahusiano ya ndugu wakati...
Habari zenu wapedwa,
Nimejisogeza upande a Zanzibari ili nipunguze crsh za barabarani na hii long week end kazini j4.
Hivo wana JF wote mlio Zanzibar karibuni leo tule urojo pamoja pale forodhani...
Nina mpenzi wangu ambae wiki masiku kadhaa yaliyopita, nlicheza nae siku za hatari.
Ingawa nilimwaga nje, lkn nilishituka kwani baada ya siku kama tatu hivi alianza kuumwa, akawa anasema kichwa...
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lakini nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakini cha ajabu anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,
Sasa...
Nimekuwa nikisikia kila mara kuwa siku hizi kuna biashara ya uchangudoa Sinza. Basi jana kama saa 2 usiku nilikuwa natoka Mlimani city, nikaona nikatize barabara ya Mori Sinza. Nikiwa natembea kwa...
Wakuu naomba tujadili kwa nini ndoa nyingi mara baada ya wanandoa kufunga ndoa kunakuwa na migogoro mingi sana ambayo hupelekea mpaka ndoa kuvunjika hivyo kupelekea kuwepo na chuki,uhasama n.k...
Ahsanteni wote mliochukua muda wenu kusoma na kutoa ushauri kwenye mkasa nilioutupia juzi kati,naheshimu mawazo ya kila mmoja, & at the end of the day i have the final verdict.
Much love wana jf.
Kijana mmoja alienda omba kaii katika nafasi ya juu kabisa ya umeneja katika kampuni fulani , alifanikiwa pita kila hatua iliyo itajika ili apate kazi , hatua ya mwisho kabisa alikuatana na...