Yamenikuta jana usiku Sinza

Yamenikuta jana usiku Sinza

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,933
Reaction score
3,256
Nimekuwa nikisikia kila mara kuwa siku hizi kuna biashara ya uchangudoa Sinza. Basi jana kama saa 2 usiku nilikuwa natoka Mlimani city, nikaona nikatize barabara ya Mori Sinza. Nikiwa natembea kwa miguu nakaribia bar ya Meeda nikaanza wasichana na nguo fupi kando ya barabara.

Kuna msichana alikuwa amekaa chini karibu na nguzo ya umeme, nikampita bila kumsalimia. Mara akaniita "samahani kaka naomba usimame", alisema yule dada kwa upole.

Kwanza nilitaka kumpuuza, lakini nikaona nimsikilize. Akanisogelea nami nikamuuliza unasemaje? "Twende tukato.....ne" alisema yule dada bila wasiwasi. Mh! Nikawa na wasiwasi, nisije nikaanza discussion kumbe ametegeshea watu waje kunipora. Nikasema hapana na kuondoka.

Wakati naendelea mbele nikazidi kuona visichana kumbe ndio viko kwenye biashara. Nilipofika pale Sinza Mori, karibu na Oil Com, nikaona wasichana kama 20 hivi wamejipanga wakionyesha mapaja nje, duh!

Kumbe hii biashara imerasimishwa Bongo?
 
Mkuu pole kwa ugeni...hiyo kawaida sana..Kuna siku kipindi cha nyuma kidogo, nlikua natoka kwenye harusi niko na baba mkwe wa rafiki yangu na mke wake pamoja na rafiki yangu. nlikua naendesha gari tunapita mitaa hiyo tokea oilcom kuja mcity..ilikua usiku. Ile naimaliza meeda taa za gari zikawamulika watu wawili wanajamiiana wameegemea nguzo...Dah, nlizima taa haraka but nadhani kila mtu aliona ila hakuna aliye uliza chochote..Hii ndiyo Dsm Usiku.
 
Mitaa hiyo mbona kawaida sana tena kama hao wanaosimama karibu na sheli ya oil com kunagest hapo hata mchana ukitaka unapata uduma wanaishi umo umo Biashara ulia siku.
 
dushelele zinakimbiza vichwa kama baiskeli isiyo na break kwenye mteremko aiseeeee
 
Nimekuwa nikisikia kila mara kuwa siku hizi kuna biashara ya uchangudoa Sinza. Basi jana kama saa 2 usiku nilikuwa natoka Mlimani city, nikaona nikatize barabara ya Mori Sinza. Nikiwa natembea kwa miguu nakaribia bar ya Meeda nikaanza wasichana na nguo fupi kando ya barabara.

Kuna msichana alikuwa amekaa chini karibu na nguzo ya umeme, nikampita bila kumsalimia. Mara akaniita "samahani kaka naomba usimame", alisema yule dada kwa upole.

Kwanza nilitaka kumpuuza, lakini nikaona nimsikilize. Akanisogelea nami nikamuuliza unasemaje? "Twende tukato.....ne" alisema yule dada bila wasiwasi. Mh! Nikawa na wasiwasi, nisije nikaanza discussion kumbe ametegeshea watu waje kunipora. Nikasema hapana na kuondoka.

Wakati naendelea mbele nikazidi kuona visichana kumbe ndio viko kwenye biashara. Nilipofika pale Sinza Mori, karibu na Oil Com, nikaona wasichana kama 20 hivi wamejipanga wakionyesha mapaja nje, duh!

Kumbe hii biashara imerasimishwa Bongo?

Hapo hakuna lililokukuta,wewe ndie uliejikuta!
 
Ungepima oil kuchek the degree of wetness na elasticity kama kutakuwa na great adhesion force wakati wa ku-do.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom