Anapenda disco

Anapenda disco

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lakini nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakini cha ajabu anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,

Sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club bado nampenda sana,nisaidieni na nahtaji ushauri kwani yamenikuta mwenzenu.
 
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lkn nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakin cha ajab anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club ilhali bado nampenda sana,nisaidien na nahtaj ushaur na kejel kwan yamenikuta mwenzenu.
mjaze mimba kwanza atulie...

baada ya hapo, angalia kama tatizo limeisha ama lah!

akirudia kwenda club, rudia dose kama mara 10 hivi..!

atatulia tu mwenyewe automatically...
 
mjaze mimba kwanza atulie...

baada ya hapo, angalia kama tatizo limeisha ama lah!

akirudia kwenda club, rudia dose kama mara 10 hivi..!

atatulia tu mwenyewe automatically...

Asante kaka kwa ushaur kwan hata mwenyewe anadai nizae nae
 
Tafuta movie inaitwa 35 and kicking, after watching that movie you'll know what to do regarding with your situation.
 
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lkn nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakin cha ajab anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club ilhali bado nampenda sana,nisaidien na nahtaj ushaur na kejel kwan yamenikuta mwenzenu.

oy temana nae hapo hakuna dem huo ndio ushaur sahihi ukianza kutafuta jins ya kumdhibit hapo ndio utawajua na wanaume wenzako temana nae madem walio tulia wapo weng km vp nkupe dadaangu sala tano ila uoe
 
Kamwe huwezi mbadilisha kama amechagua kuishi hivyo
 
...usilazimishe kum'badili mtu tabia. tafuta mnaeendana kwa hobbies na interests.
 
Huyo hata ukimuoa ipo siku utakuta kawafungia watoto ndani kaenda disko,
 
mjaze mimba kwanza atulie...

baada ya hapo, angalia kama tatizo limeisha ama lah!

akirudia kwenda club, rudia dose kama mara 10 hivi..!

atatulia tu mwenyewe automatically...

Exel kumbe huwa mnashauriana hvyo ee. yan kurukaruka kwote kulinisha mtoto wa kike nkawa cna ujanja kwan kwenda club na kichefuchefu inahusu? mtoto nkatulia hata maswahiba wakaulza coz hawakuamin lile 2kio.

bas now niko nalea ukinambia habar za club naona kawaida sana hata mzuka cna mweee nilikomeshwa kwa kwel
 
MankaM mtu kubadilika inabidi akubali mwenyewe kwanza, anaweza kumpenda ila akabakia na hali yake ya disco.
 
Last edited by a moderator:
MankaM mtu kubadilika inabidi akubali mwenyewe kwanza, anaweza kumpenda ila akabakia na hali yake ya disco.

Duu hapo labda kama hakuna mapenz coz inabid wasikilizane pia washauriane sasa kama itakuwa ngumu ishu ni kupiga chiz tu
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba hata siku moja huwezi kupata mtu ambae kila kitu mnaendana. So unachoweza kufanya ni kumbadilisha ukishindwa unaweza kuvumilia au ukamwacha...


​
 
Kasikila na wewe ufungue club yako...

Keshakupa changamoto, ninafasi yako kuichukulia kma fursa ya kujenga club yako
 
Utoto tu huo akikua ataacha..nawe jizoeshe kwenda club pia.
 
Ana jini muziki mfungie sound ya maana nyumbani jini lake litaridhika
 
Kama kweli unampenda vumilia, akikua ataacha
 
Back
Top Bottom