sio hadithi ya kuambiwa its true story ya maisha yangu na muda c mrefu nitaiandikia kitabu, Sijui nilimkosea wapi wapi Mke wangu, nilimpa kila kitu kuanzia dudu safi kabisa, tena alikuwa form four failure nikamfungulia duka hapo sasa ndipo nilipochafua hali ya hewa kwan duka lilikuwa la jumla, we spent almost one year katika ndoa ila nimenusurika kuuwawa twice, til now kila mtu na njia yake. nilikuwa nayasikia mambo ya changaz tu duuu ni noma, there are born to find money at any means at any place regardless who will be affacted