Mambo ya kuzingatia wakati wa kula chakula

Mudundo

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
38
Reaction score
9
Mambo ya kuzingatia wakati wa kutaka kula chakula: Kwanza, kiweke karibu nawe, pili, nawa viganja vyako kwa utaratibu, tatu, sema Bismillah, nne, anza kutonga matonge madogomadogo, tano, tafuna na umeze taratibu, sita, usiongee na watu, saba, ukimaliza kula subiri takika ishiriini na tano halafu uchukue kikombe cha maji unywe taratibu. Tukizingatia haya wana Jf tutakuwa wenye afya bora.
 
hii ina uhusiano gani na afya bora???maanake nini??

swala sio style gani unatumia mezani bali ni chakula gani unakulaga ukiwa mezani hayo ya kutafuna taratibu na kumeza ni formalitiz tu
 
Yaan sijakuelewa.unatufundisha jinsi yakula?tufundishe basi na jinsi ya kumeza.
 
Back
Top Bottom