Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,840
- 38,930
Nina mpenzi wangu ambae wiki masiku kadhaa yaliyopita, nlicheza nae siku za hatari.
Ingawa nilimwaga nje, lkn nilishituka kwani baada ya siku kama tatu hivi alianza kuumwa, akawa anasema kichwa, tumbo vinauma pia anasikia kizunguzungu na hali yake ilikuwa serious kweli.
Mawazo yangu yakapelekea kwamba huenda nmempa mimba.
Nilifadhaika sana kwani nlijua kwamba endapo kama amepata mimba, basi mfumo wake wa maisha na wangu pia nmeshaharibu.
Leo nikapokea good news, akaniambia yuko period, moyo wangu ukarukaruka, hapohapo nikakimbia dukani kumuongezea zile taulo zao zile!. Ingawa uzinzi si mzuri, ila kwakweli nmefurahi sana, maisha haya sitaki kumpa mtu mimba kabisa, hadi wakti utakapo wadia.!